Smile Internet

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
7,685
12,319
Wandugu habari za leo.?
Nimeona nishare ideas na ninyi wote:
Wiki iliyopita nilifunga Internet ya smile ofisini kwangu, na kupata 10GB kama kifurushi cha kuanzia lakini ndani ya siku 3 tu,nikaona GB 7 zimeisha,na nikiangalia nilichofanyia ni cha kawaida sana,kwenye mitandao mingine kama Voda,Airtel na tigo ningetumia labda 1-2 GB,sasa najiuliza nifanyeje ili niweze kusave cost ya kununua bundle za smila ambazo ni gharama kubwa angalia hapo chini:
Najiuliza nifanyeje ili nipate intenet ya uhakika na yenye gharama nafuu zaidi.?
Kwa anayejua tafadhali niPM au nijibu hapa jukwaani.
[h=1]Data Bundles[/h] Buy as much data as you need, when you need it.
Prepaid BundlesValidity PeriodBundle Price in TZSOut-of-Bundle Tariffs in TZS
PPU (Pay-Per-Use)Not applicableNot applicable
25,000/= per GB
500MB30 days10,500/=25,000/= per GB
1GB30 days19,000/=25,000/= per GB
3GB30 days42,500/=25,000/= per GB
10GB30 days118,000/=25,000/= per GB
20GB30 days180,000/=25,000/= per GB
50GB30 days375,000/=25,000/= per GB

i heard about that smile its not broadband but its only wifi sasa mm nilie nyumbani ina maana nikitaka inawabidi waje waanze kufanya installtion ya vifaaa mbalimbali kama dish gateway switch ruta je si ndio inakuwa gharama zaidi
 
  • Ndugu Emilias G Je ni PC ngapi umeziunga hapo ofisini?
  • Je ni matumizi yapi ya internet makubwa uliyonayo?
  • Vipi kuhusu outomatic updates za OS na programs mbalimbali katika PC utumiayo/ zitumikazo hapo ofisini?
Pendekezo
  1. Tumia NetLimiter - Ultimate Bandwidth Shaper - Hii itakuonyesha programs zote zitumiazo internet katika PC yako/ zako hapo ofisini. Na utakuwa na uwezo wa kulimit speed na hat kublock baadhi ya programs zisitumie kabisa internet. Ingia hapa ili kujifunza zaidi: NetLimiter - The Ultimate Bandwidth Shaper
nlshot.png
2. Au waweza kutumia ZoneAlarm hii utaipata hapa: Firewall Antivirus Software and Computer Security Suite by ZoneAlarm , lengo ikiwa ni kudhibiti matumizi
3. Bora utumie unlimited ya Vodacom ambapo kwa mwezi ni tsh 40,000 na waweza download zaidi ya hizo gb 50 ambazo smile wanauza 375,000.
 
Last edited by a moderator:
Smile bundle zao ni pretty useless, hakuna maana ya kufunga 4g kisha kuwa na kalimit kadogo hivyo.

Utakuwa unamaliza haraka kwa vile spidi ni kubwa, spidi inapokuwa kubwa matumizi yanaongezeka. Pia kwa mchangiaji mwingine Smile sio wifi na hakuna kitu cha kuja kufungiwa nyumbani, uanunua modem yao kama mitandao mingine, angalia eneo ulipo kwanza maana coverage sio nzuri.
 
Smile ni gharama lakini internet yake si ya kulinganisha na haya makampuni ya simu. Ipo fast sana kiasi kwamba 2gb unadownload kwa dakika 25
 
  • Ndugu Emilias G Je ni PC ngapi umeziunga hapo ofisini? Nina PC 3 na zaidi huwa nina wageni wanaotumia device mbalimbali approximate 3-8 at once
  • Je ni matumizi yapi ya internet makubwa uliyonayo? Sina matumizi makubwa sana,nahisi ni ya kawaida coz its just browsing and not download
  • Vipi kuhusu outomatic updates za OS na programs mbalimbali katika PC utumiayo/ zitumikazo hapo ofisini? Sijaset hizo program za updates za OS
Pendekezo
  1. Tumia NetLimiter - Ultimate Bandwidth Shaper - Hii itakuonyesha programs zote zitumiazo internet katika PC yako/ zako hapo ofisini. Na utakuwa na uwezo wa kulimit speed na hat kublock baadhi ya programs zisitumie kabisa internet. Ingia hapa ili kujifunza zaidi: NetLimiter - The Ultimate Bandwidth Shaper
nlshot.png
2. Au waweza kutumia ZoneAlarm hii utaipata hapa: Firewall Antivirus Software and Computer Security Suite by ZoneAlarm , lengo ikiwa ni kudhibiti matumizi
3. Bora utumie unlimited ya Vodacom ambapo kwa mwezi ni tsh 40,000 na waweza download zaidi ya hizo gb 50 ambazo smile wanauza 375,000.
Je nikitaka kujiunga na hiyo Internet ya Voda nifanye nini na itanigharimu kiasi gani.?
Asante sana.
 
Je nikitaka kujiunga na hiyo Internet ya Voda nifanye nini na itanigharimu kiasi gani.?
Asante sana.
  • Modem tsh 30,000 [ kama hauna]
  • Kisha piga *149*01# kwa kutumia simu yako au modem ukiwa umeweka salio la tsh 40,000/-chagua 7 ->chagua 1-> chagua 3 -> chagua 2 [tsh 40,000 (unlimited)]

Jamaa wa jirani hawajakuliza kwenye wifi? Kulikuwa na mmoja humu aliomba asaidiwe namna ya kutumia wifi ya jirani yake. Kuwa mwangalifu.
 
  • Modem tsh 30,000 [ kama hauna]
  • Kisha piga *149*01# kwa kutumia simu yako au modem ukiwa umeweka salio la tsh 40,000/-chagua 7 ->chagua 1-> chagua 3 -> chagua 2 [tsh 40,000 (unlimited)]
Asante,hapo nitapata connection kwenye PC moja na mimi nataka atleast nipate kwenye 3 PC na wireless,au kuna modem zenye wireless pia.? kama zipo zinaitwaje na zinapatikanaje na cost ikoje.?
Asanteni wote kwa michang yanu.
 
duuuuh... smile mbona gharama hivyo wakati Mwalimu RCT anakuunga tu na TG kiubweteeeeeeeeeeee as low as 8000 per month.
 
Asante,hapo nitapata connection kwenye PC moja na mimi nataka atleast nipate kwenye 3 PC na wireless,au kuna modem zenye wireless pia.? kama zipo zinaitwaje na zinapatikanaje na cost ikoje.?
Asanteni wote kwa michang yanu.
  • Hapo inabidi pia ununue Router ambayo itakuwezesha wewe kutumia internet kwa PC zote na pia kupata wireless.
  • Router nzuli zinapatikana kwa range ya tsh 100,000 hadi 160,000
  • Hivyo modem [Yenye hicho kifurushi cha unlimited] itachomekwa kwenye router na utaziunga PC zako kwa ethernet cable au wireless kutokea kwenye hiyo Router.
Karibu
 
Wandugu habari za leo.?
Nimeona nishare ideas na ninyi wote:
Wiki iliyopita nilifunga Internet ya smile ofisini kwangu, na kupata 10GB kama kifurushi cha kuanzia lakini ndani ya siku 3 tu,nikaona GB 7 zimeisha,na nikiangalia nilichofanyia ni cha kawaida sana,kwenye mitandao mingine kama Voda,Airtel na tigo ningetumia labda 1-2 GB,sasa najiuliza nifanyeje ili niweze kusave cost ya kununua bundle za smila ambazo ni gharama kubwa angalia hapo chini:
Najiuliza nifanyeje ili nipate intenet ya uhakika na yenye gharama nafuu zaidi.?
Kwa anayejua tafadhali niPM au nijibu hapa jukwaani.
[h=1]Data Bundles[/h] Buy as much data as you need, when you need it.
Prepaid BundlesValidity PeriodBundle Price in TZSOut-of-Bundle Tariffs in TZS
PPU (Pay-Per-Use)Not applicableNot applicable
25,000/= per GB
500MB30 days10,500/=25,000/= per GB
1GB30 days19,000/=25,000/= per GB
3GB30 days42,500/=25,000/= per GB
10GB30 days118,000/=25,000/= per GB
20GB30 days180,000/=25,000/= per GB
50GB30 days375,000/=25,000/= per GB

Ofisi unayotaka kupata connection iko wapi?
Mimi nafanya provision ya satellite Internet connection, 512Kbps with unlimited monthly volume.

Price is $180 /month
Keep in touch with me if this may fit the needs
 
Ofisi ipo Arusha eneo la Sakina.
Ila hiyo 180$ per month kwa upande wangu ipo juu sana.
Asante.!
 
Back
Top Bottom