atrash
Member
- May 1, 2011
- 75
- 12
habari zenu wakuu mi naomba kujuzwa hizi smartphone ni simu za aina gani na adroid ni simu za aina gani utajuaje kama hii ni smartphone na hii ni adroid kama vile samsung ,nokia kama mimi nina samsung GT-S 5233a je hii ni smartphone au ni adroid
hiki kitu kina nichanganya sana unaweza ukaambiwa application hii ni kwa ajili ya sambianphone sasa utajuaje sambian phone iko upande wa nokia au samsung naomba kujuzwa tafadhali
hiki kitu kina nichanganya sana unaweza ukaambiwa application hii ni kwa ajili ya sambianphone sasa utajuaje sambian phone iko upande wa nokia au samsung naomba kujuzwa tafadhali