Sungi
Senior Member
- Apr 29, 2009
- 149
- 47
Baba wa Taifa (Mwalimu Nyerere) alisema " Small nations are like indecently dressed women. They tempt the evil-minded. Kwa hiyo hivi vinchi vyetu ambavyo ni maskini, sio kwa rasimali, bali mawazo huvutia watu waovu, kwa maana ya wale wanaojua kwamba watu wamelala, wataweza kuiba mali ya umma bila ya kufuatiliwa, kula rushwa wakijua hamna atakayewachukulia hatua za kisheria, yaani the culture of impunity is grossly exhibited. Msemo wa kiswahili "usimwamshe aliyelala na wewe utalala" una application kwenye hivi vinchi vyetu. Oh, watu wanapiga kelele sijui nini, sijui lile, hamna chochote bali kila mmoja anajitahidi apate mkate wake na familia yake ... kwisha kazi. Kweli Small nations are like indecently dressed women. They tempt the evil-minded.