Small nations are like indecently dressed women; They tempt the evil-minded

Sungi

Senior Member
Apr 29, 2009
149
47
Baba wa Taifa (Mwalimu Nyerere) alisema " “Small nations are like indecently dressed women. They tempt the evil-minded.” Kwa hiyo hivi vinchi vyetu ambavyo ni maskini, sio kwa rasimali, bali mawazo huvutia watu waovu, kwa maana ya wale wanaojua kwamba watu wamelala, wataweza kuiba mali ya umma bila ya kufuatiliwa, kula rushwa wakijua hamna atakayewachukulia hatua za kisheria, yaani the culture of impunity is grossly exhibited. Msemo wa kiswahili "usimwamshe aliyelala na wewe utalala" una application kwenye hivi vinchi vyetu. Oh, watu wanapiga kelele sijui nini, sijui lile, hamna chochote bali kila mmoja anajitahidi apate mkate wake na familia yake ... kwisha kazi. Kweli “Small nations are like indecently dressed women. They tempt the evil-minded.”
 
Hiyo state ya Mzee Nyerere imenikumbusha mbali sana. Mwalimu wangu wa management accounting used to say a balance sheet is like a woman in a mini skirt. It enables you to see the the essentials and hides the neccessities. That was 35 years ago. I hope my friend the CAG ndugu Utoh and Hon Makinda rember that Indian teacher.
 
Alikuwa ni mwalimu PATEL.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom