afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,215
Lile darasa la true love vipi? au limehairishwa? hapa ndio mahala pake si unaona jamaa katoa Helmet ili bimdogo apone, halaf habari za kuaminika siku 20 baada ya maziko bimdogo kakutikana gesti na njemba ya kijaluo. Wanawake bana!
hahahahahah lol
we mchokozo kweli kweli mmhhh
bimdogo bado yuko matangani mi
hizo habari zako siziamini sana hahahahh lol
mmmhh TRUE LOVE daaahh
yaani unataka kunichemsha bongo
wakati unaanza kisinzia mmmhhhhh