Slaa soma hapa huko kote unasumbuka bure!!

Tuiteni majina yoote: Nyumbu, wapumbavu, malofa, vibaka, wanywa viroba, na yooote ila Lowassa ndo rais wetu
 
GANDHI.jpg
 
Kweli aliyoisema Slaa jana usiku STAR TV umeisikia? Amesema kwamba Magufuli alimwuzia hawara yake nyumba ya Serikali kwa bei ya kutupa, na hawara huyo hakuwa hata ni mfanyakazi wa Serikali! Ameongeza kusema kwamba yeye naye ni binadamu mwenye moyo wa nyama, hivyo kilichomuumiza hadi kumpa stress, ni kunyimwa kugombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA, ingawa alikwisha kuandaliwa hadi kupelekwa kuzuru majimbo ya Marekani. CCM, badala ya kujijenga, mnazidi kujimaliza kwa kumtumia mtu huyu mwenye stress!!!!!!

Kosa kubwa ni kumlazimisha kuendelea kukifanya kibarua wakati mwenzao akili imesharuka na kila dakika anasikia sauti tofauti zikimsemesha.Waangalie possibility ya kuachana nae kwa sababu hizo stress zinaweza kumsababishia psychopath.Pamoja na kusababisha matatizo kadhaa sisi tumemsamehe lakini mateso atakayoyapata ni kulazimisha nyekundu kuwa njano wakati uwezo wa akili umeshafikia kikomo(He better stay quiet kwa sababu kila kitu kipo wazi).We luv him as our father but the more anavyozidi kujitokeza the more heshima yake kwetu inavyozidi kupotea as well as the more anavyozidi kusogea kwenye kupata msongo na hatimaye matatizo ya ubongo.
 
Katika.hali isiyo ya kawaidaa CCM baada ya kuona mabango ya Magufuli hayana mvuto wameamua kuyashusha na kujibu mapigo kwa kuweka mabangi yenye vijembe kwa Lowassa
attachment.php

Mkuu,
sijaona kijembe kwa Lowasa hapo ila ni tafsiri mbaya tu. Kashifa si Richmond pekee bali kuna orodha ndefu
1. Loliondo gate -1984
2. Chavda na akina mrema
3. Mohamed Grahm Enterprises na mashamba ya mkonge Tanga
4. Utoroshaji Dhahabu na mama Siti Mwinyi
5. Meremeta
6. Deep Green
7. meno ya tembo na Wachina
8. Escrow
9. Epa
10. Nyumba za Serikali
11. Samaki wa Magufuli n.k

Kashifa zote hizo Magufuli zinamgusa nyingi zaidi ya Lowasa.
 
"chama hiki si chama cha matajiri" hivi hapa nyerere alikuwa anawazungumzia matajiri gani hasa enzi hizo
 
Back
Top Bottom