Slaa soma hapa huko kote unasumbuka bure!!

bupepe kweli kabisa ikulu sio pango la walanguzi wa miradi ya barabara na nyumba za serikali. haiingii akilini kandarasi anapewa zabuni analipwa kiasi halafu anakuja mtu ati waziri anaagiza mkataba uvunjwe na matokeo yake kandarasi anaidai serikali. kumbe ii inakuwa janja ya mapema tu, watu wanagawana mshiko. Ikulu ni mahali pa watu wastaarabu watulivu wasioongea sana kama mheshimiwa ENL
Katika.hali isiyo ya kawaidaa CCM baada ya kuona mabango ya Magufuli hayana mvuto wameamua kuyashusha na kujibu mapigo kwa kuweka mabangi yenye vijembe kwa Lowassa
attachment.php
 
Ni kweli kabisa. Watu wameongeza hamasa ya kumpenda Lowassa toka pale Padri alipotoka na kumponda Lowassa. CCM wafanye tathmini watu kama Slaa wanawaangusha zaidi kuliko wanavyodhani
 
Namuonea huruma huyu Mzee,kawa mwepesi kiasi hichi??
Duu kweli njaa mbaya,nadhani mihogo ilimchosha ikabidi asake bugger.
 
HAHAHAHA Mmeshasahau kilichotokea Mbeya mkashangilia! Kama ujumbe haumhusu mgombea wenu mbona mnabwabwaja tu? Mmeamua kukumbatia UFISADI na hiyo ndiyo raha yake.
 
Hakuna Ulofa na Upumbavu uliofanywa na Slaa kama kwenda kufanya kampeni za fitna dhidi ya Upinzani kwani ameonekana ni mwanasiasa wa hovyoooo kabisa!maana katika kitu cha kijinga nikuisafisha CCM ambapo ndiyo kuna genge la wezi kuliko huyu mwizi mmoja aliyejisalimisha polisi!
Umefeli na ujue baada ya siasa kina maisha!je wasipo shinda???utakuwa mgeni wa nani??Ila pole kwa kuwa LOFA NA MPUMBAVU.

Nadhani uelewa wako ni mdogo sana wa kupambanua mambo, au ni makusudi au ni ukibaka wa kwenye JF. liko wapi kosa la Dr. slaa? siku zote nzee ni msema kweli na ataendelea kusema kweli daima, tulio wengi ni wenye hali ngumu sana na tunahitaji kiongozi na si bora kiongozi, unajua nyie mnaochagua vyama ndo tatizo, cc tunahitaji kiongozi kutoka chama chochote kile, ila asiwe fisadi kama wa UKAWA, kampeni zao hadi muda hakuna anayeongelea swala la rushwa na ufisadi, unategemea nn hapo badae? kama mna makengeza endeleeni, lakini waelewa tumekwishastuka, na kwa kuwa mnajidai kwamba mmemsahau Dr.Slaa si siku nyingi mtamkumbuka kwa kusema ukweli na misimamo yake.
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa wamarekani **Whether he will bring development or not we will choose Obama to show the world that America is for everyone**.Na sisi tunasema, whether he will bring development or not we will choose LOWASA from UKAWA to show the world that Tanzania is for every one, not CCM only. Mabadiriko ya kweli ni ndani ya UKAWA. Lowasa oyeeeeeee

Tulia wewe.
 
Mr Low & Duni duni kuwa rais wa nchi hii? Yaani awashinde mbinu kanali 2 wa Jwtz Kinana na JK kwa pamoja? Huyo siyo jw ninayoifahamu.
 
Nadhani uelewa wako ni mdogo sana wa kupambanua mambo, au ni makusudi au ni ukibaka wa kwenye JF. liko wapi kosa la Dr. slaa? siku zote nzee ni msema kweli na ataendelea kusema kweli daima, tulio wengi ni wenye hali ngumu sana na tunahitaji kiongozi na si bora kiongozi, unajua nyie mnaochagua vyama ndo tatizo, cc tunahitaji kiongozi kutoka chama chochote kile, ila asiwe fisadi kama wa UKAWA, kampeni zao hadi muda hakuna anayeongelea swala la rushwa na ufisadi, unategemea nn hapo badae? kama mna makengeza endeleeni, lakini waelewa tumekwishastuka, na kwa kuwa mnajidai kwamba mmemsahau Dr.Slaa si siku nyingi mtamkumbuka kwa kusema ukweli na misimamo yake.
Kama ni mzee msema kweli, basi atuhubirie na kuhusu ESCROW (hii ya juzi) hususan zile pesa zilizopitia stanbic pamoja na mawaziri waliotuhumiwa na kuachishwa kazi kutokana na ufisadi huo ili tukubaliane naye kwa kusema 'ukweli' alioushikilia bango wa RICHMOND (miaka minane iliyopita). Kama hawezi kufanya hivyo, tutaendelea kumwona ni Dr. Mihogo tu. Akale mihogo na kulala.
 
Back
Top Bottom