Elections 2010 Slaa mbona ana nguvu hivi, duuuh, chadema walifanya utafiti kumbe kweli

Tutafakari ukweli na undani wa falsafa yote ya... Peoples power!

Hakuna chombo chenye nguvu humu duniani zaidi ya UTU wa MTU, UTU una nguvu kuliko hata AKILI!!!

UTU wa Mtu unaweza kuzuia mabomu yote ..ya nuklia yasilipuke...ni mambo ya maarifa tu!!!

UTU wa Mtu ukiwa proffesionaly activated ndio vitu vyake unaviona hivi..Its so infinetly powerfull!! Nchi imepata wenyewe...!!

Utanzania na UTU.. kitu ni hicho hicho...Kama unajua Uasisi wa Taifa Tz....Utgundua siri ilipo!!

UTU ni ummoja, heshima, tumaini na upendo.... Na Ndio nembo ya Tifa..nk!

Dr PhD..Slaa ....He knows exctly how to activate it!!

Kiua UTU ni ufisadi tu!!! Kiangamiz aUTU ni Ufisadi...!!

Just Blast UFISADI firmly and effectivey and you have the Energy released... Tulianzia mwembe yanga, tukapitia pale richmond bungeni etc....the rest we know!!

JK nyerere was good in this..aliwekeza kila kitu chake hapo...Kumbuaka ...UTU sio function ya time, mater and space...so UTU haupitwi na wakati...is like Nyerere bado yupo...!

Utu ndio the only true instrument ya Kujengea ustawi na maendeleo ya jamii na Taifa kwa ujumla!

Nguvu Ya UTU kwa Taifa la Tz..its domant ..out there..baada ya JK Nyerere kuondoka ...wakaitupiliambali...They are Jocking...

Akitokea Mtu mwenye Utu..akaona...anaiactivate na mlipuko utakao tokea hapo...mh!!

UTU wa Tz uliokuwa umeachwa umevia...sasa umepata wenyewe.... wataufufua katiaka mtizamo mpya..

NA AZIMIO JPYA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!


Mkuu well said & that is the truth, penye UTU ulio kweli hata nini ije ni bure, na ndio nchi zilizoendelea zinaongozwa na kusikiliza UTU wa watu, si kuwapelekesha watu, big up
 
Okay! this is good at the moment ,but let us wait and see the end of it all then...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom