piper
JF-Expert Member
- Jan 17, 2012
- 3,253
- 612
Mimi nafikiri ni kipindi cha Dr Slaa kujipanga tena kwa ajili ya 2015. Na kuacha kabisa kuchochea wanachama na wapenzi wa chama chake kufanya hujma kwa serikali iliyopo madarakani kwa ajili ya manufaa ya nchi yenu na wananchi wake.
Hakika uchochezi sio mzuri kwa mustakabali wa nchi yenu. Hakika amani ya nchi enu inategemea busara zenu viongozi kwa wanachama wenu.
Fuata za maalim Seif kwa Znz na waZnz.
Kawachochea lin na wapi? ugumu wa maisha ndo unasababisha yote haya Dr. hata hahusiki? cku zote mwenye shibe hamjui mwenye njaa, so km tumbo limejaa kaa kimya mkuu, cjui km kwasasa upo Tanzania ndo ujionee hali ilvyo, wagonjwa wanakufa mahospitalini km kuku Dr. Slaa anahusikaje? crap