Size ya kitanda inaathiri vipi mahusiano yenu?

Asanteni sana kwa michango yenu, maswali na changamoto:

1. Kuna waliouliza "Kwanini wanandoa hulala kitanda kimoja"? - Hili ni swali la msingi - Je unafahamu kuwa kuna jamii ambazo mke na mume hawalali pamoja? Wanawake hulala chumba chao na wanaume hulala chumba chao. Huwekeana zamu za kuwa faragha ambapo familia hutoka kwenda kutembea beach na kwingineko.Sasa ndio ujue kwanini wenza hulala pamoja - huenda hakuna ulazima huo sana.Leteni michango zaidi

2. Kulala pamoja/karibu kwaweza kuwa kero kama mmoja anakoroma au analala vibaya au kuwa na harufu zisizopendeza kama za pombe,kutooga kabla ya kulala etc.

3. Kulala pamoja huweza kuongeza upendo na ukaribu wa wapendanao.Uwezekano wa kusuluhisha migogoro ni mkubwa kama wenyewe wahusika watakaa karibu zaidi ( kitanda kidogo huongeza uwezekano!)

Haya tuendelee jamani.....

Hiyo point ya kwanza inanikumbusha kuna rafiki yangu muEthiopia aliwahi kunihadithia kuwa hakuwahi kuona baba na mama yake wakilala nyumba 1 (siyo chumba), cha ajabu alikuwa anaona wadogo zake wanazaliwa tu. wanakutana saa ngapi, haijulikani!!!!!!!!!!! na huyo baba hakuwa na mke mwingine, anasema ndo zilikuwa mila zao. ila sasa yeye analala tu na mkewe chumba kimoja
 
space is very important bwana, so i will go for the big bed, it serves multiple purposes, when u need to be closeu can adjust and viceversa
 
Hiyo point ya kwanza inanikumbusha kuna rafiki yangu muEthiopia aliwahi kunihadithia kuwa hakuwahi kuona baba na mama yake wakilala nyumba 1 (siyo chumba), cha ajabu alikuwa anaona wadogo zake wanazaliwa tu. wanakutana saa ngapi, haijulikani!!!!!!!!!!! na huyo baba hakuwa na mke mwingine, anasema ndo zilikuwa mila zao. ila sasa yeye analala tu na mkewe chumba kimoja

Hii mila ilikuwepo kwa makabila mengi hata hapa Tanzania. Kilichoibadili huenda ni maingiliano ya tamaduni na uzungu.
Je mnadhani kulikuwa na faida gani kuwa na utaratibu huu?
 
......Vitanda vikubwa ni fashion tu siku hizi........ila mimi sioni umuhimu wake sana kwa sababu wapenzi mkilala lazima mkumbatiane muwe zero distance.

True dat ukubwa wa kitanda ni fashion tu haina umuhimu sana maana mnaweza kupeana libeneke mpaka hicho kitanda chenyewe mkaona hakifai na kuwa ni bora kuhamia chini labda kitakusaidia zaidi ukitaka kulala peacefully lakini kwenye kupeana mahaba hata kama kitanda ni kikubwa kitaonekana kidogo sababu ya manjonjo yenu
 
Kikubwa ni kizuri sana unalala confortable kabisa na purukushana mara umedondoka mara ukisogea huku unambana mwenzio mambo gani hayo
 
Suluhu ya hii kitu kila mtu alale kwenye chumba chake, mwenye kuhitaji amfuate mwenzie na akimaliza anaweza kutimua. Kulala na mtu chumba kimoja, kitanda kimoja miaka nenda rudi hata kama mnapendana kama kumbikumbi kunafifisha ufikiri. Kumbuka mawazo mengi hutokea ukilala full kujiachia
ya kulala kila mtu chumba chake kibongo bongo sikubaliani nayo kabisa ndio hapo kama mke hajatulia unaweza kukuta ana chat usiku kucha na watu wengine

na ukisikia baridi usiku inakuwaje maana mapenzi si ngono tu kuna kukumbatiana wakati wa baridi, harufu ya mwili nayo inaongeza mapenzi au hata mwenzako akiachia ushuzi kuna raha yake
 
MIOYO yenu ndy inapelekea MIILI yenu kukaribiana! Kama hakuna mapenzi hata mkilala kitanda cha moja kwa sita mtapigana VIFUTI tu.
 
Mi napenda kitanda kidogo kama cha futi 3x6 kikizidi sana 4x6 hapo kwakweli na enjoy sana.
Inakuwa lahisi kwangu kumdhibiti mwenzangu asipokonyoke na full kukukuruka maeneo hayo hayo mwanzo mwisho.

Duh.......asee we kiboko!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Haki ya nani sredi hili limenifumbua macho bana ..................nauza kitanda used ni 8 X 8 ama kubadishana na 3 x 4:A S 8::A S 8::A S 8::A S 8::A S 8::A S 8::becky::becky::becky::becky:
 
ya kulala kila mtu chumba chake kibongo bongo sikubaliani nayo kabisa ndio hapo kama mke hajatulia unaweza kukuta ana chat usiku kucha na watu wengine

na ukisikia baridi usiku inakuwaje maana mapenzi si ngono tu kuna kukumbatiana wakati wa baridi, harufu ya mwili nayo inaongeza mapenzi au hata mwenzako akiachia ushuzi kuna raha yake

Baelezeeeee:becky::becky::becky:
 
Hii mila ilikuwepo kwa makabila mengi hata hapa Tanzania. Kilichoibadili huenda ni maingiliano ya tamaduni na uzungu.
Je mnadhani kulikuwa na faida gani kuwa na utaratibu huu?

Faida mmoja wapo kwa wanandoa/wapenzi kutochokana kiviiiiileee........! kama wapenzi hawaonani mara kwa mara, hii huleta shauku kubwa sana ya kuonana pindi ratiba ya kuonana inapokaribia......! hii mambo ya kulala pamoja (tena zero distance), kushinda pamoja, kutoka pamoja.....hupunguza mvuto......!
 
As wakiamka si wanaonana na haya mambo ya kuchokana miye ndo nayasikia siku hizi .hiki kizazi chetu ndio kimekuja na haya maneno na misamiati kufunika uovu wetu............! Mungu na atusaidie!
 
Kuna dhana kwamba ukubwa wa kitanda hupelekea kuweka wanandoa mbali kimapenzi. Lakini watu wengi watakuambia wanapenda 8x8, 6x6 etc.

Nimesikia mjadala wa size ya kitanda na " madhara/faida" yake katika uhusiano ukanifanya kujaribu kutafiti zaidi kujua zaidi nikakutana na uzoefu kama huu hapa chini:

- a king-size bed was too big for me to have an intimate relationship with my husband. Not too big to have sex in but too big to be physically close. Too much personal space.

-I've since remarried and my second husband and I sleep in a queen-size bed. It feels right. But, of course, there are those times when I don't want to be close to him. Those times when I feel like I'm sleeping next to an old dog that .............. and snores. But most of the time, I like knowing that my husband is in the bed with me. The warmth of his body, the sound of his breathing, the feel of his morning wood. It's comforting

- I think I might feel exactly the same way! A full is much too small.. I want him near by but not completely touching me...a king makes it seem like he is miles away.. but a queen, a queen is just right.

- We too like to get a king when we're on vacation, or staying at a hotel, but it's more of a commodity, and we usually end up sleeping smooshed together on one side.

- we sleep in a full size bed normally... and we are usually fine with it and can cope... but lately we have been sleeping in the guest bedroom on the queen sized bed and we have problem with the King sized bed... I will roll to the edge because that's where I'm comfortable and then he will turn around and discover I'm not there and pull me towards him... it makes for restless nights to say the least...

-We have a King size and it's good for business. If we want to be close, we both migrate towards the middle, but it keeps us from disturbing each other and we sleep better then when we were in my queen.

-I like the king because it is big enough to have some fun in and on hot summer nights when i dont want anthing touching me, not even his hand. When i need to snuggle we just meet in the middle, I like to have physical contact, ie something touching even if it is just my hand on his back.

Mambo hayo!
Hizo 8 kwa 8 zitawafanya kuachana upesi kumbe!.....
Itabidi wanandoa walale kwenye vitanda vya 2 kwa 6 sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom