Size ya kitanda inaathiri vipi mahusiano yenu?

Suluhu ya hii kitu kila mtu alale kwenye chumba chake, mwenye kuhitaji amfuate mwenzie na akimaliza anaweza kutimua. Kulala na mtu chumba kimoja, kitanda kimoja miaka nenda rudi hata kama mnapendana kama kumbikumbi kunafifisha ufikiri. Kumbuka mawazo mengi hutokea ukilala full kujiachia
 
Mi napenda kitanda kidogo kama cha futi 3x6 kikizidi sana 4x6 hapo kwakweli na enjoy sana.
Inakuwa lahisi kwangu kumdhibiti mwenzangu asipokonyoke na full kukukuruka maeneo hayo hayo mwanzo mwisho.
 
Mi napenda kitanda kidogo kama cha futi 3x6 kikizidi sana 4x6 hapo kwakweli na enjoy sana.
Inakuwa lahisi kwangu kumdhibiti mwenzangu asipokonyoke na full kukukuruka maeneo hayo hayo mwanzo mwisho.
:confused2::confused2::confused2:
 
............We NN unacheza wewe, unaweza kuwa na kitanda kikubwa na mkadondoshana chini libeneke likikolea....Vile vile mnaweza kuwa kwenye sofa bila kudondoshana chini.

Ndio maana mnaweza hata kuhama kutoka kwenye kitanda hicho 8X8 na mkaenda kwanye sofa, bafuni, sakafuni, mezani, na hata ukutani...!
 
i prefer kitanda cha kawaida... like 5x6... huwa nainjoi sana kulala nikiwa nimemhold mama yeyoo

kibaya kingine cha kitanda kikubwa ni pale mnaponuniana, mar nyingi inakua rahisi kumaliza night, lakini with a small bed, you have to touch each other and that leads to further making up, eventually .....
 
If u need ur space....why sleep in same bed in the first place...
Kuna swali lanisumbua....kwa nini wanandoa wanalala kitanda kimoja??
 
If u need ur space....why sleep in same bed in the first place...
Kuna swali lanisumbua....kwa nini wanandoa wanalala kitanda kimoja??
very true mkuu.... why sleeping together in the first place

hilo la pili ni swali gumu aisee
 
Man...I can't stand women who snore. Seriously, for me this can be a deal breaker.....I just don't find it attractive when a woman snores...

NN, sipati picha kama utaoa, maana una "dont" nyingi sana. I hope unafahamu kuwa hakuna perfect person, kila mtu ana strengths na weaknesses zake; so, take it easy my dear
 
Suluhu ya hii kitu kila mtu alale kwenye chumba chake, mwenye kuhitaji amfuate mwenzie na akimaliza anaweza kutimua. Kulala na mtu chumba kimoja, kitanda kimoja miaka nenda rudi hata kama mnapendana kama kumbikumbi kunafifisha ufikiri. Kumbuka mawazo mengi hutokea ukilala full kujiachia

dah...

man ndiyo zako nini? i salute you!!!!!!!!
 
NN, sipati picha kama utaoa, maana una "dont" nyingi sana. I hope unafahamu kuwa hakuna perfect person, kila mtu ana strengths na weaknesses zake; so, take it easy my dear

Hahahaaa...don't worry...marriage is overrated and outdated anyway....
 
Asanteni sana kwa michango yenu, maswali na changamoto:

1. Kuna waliouliza "Kwanini wanandoa hulala kitanda kimoja"? - Hili ni swali la msingi - Je unafahamu kuwa kuna jamii ambazo mke na mume hawalali pamoja? Wanawake hulala chumba chao na wanaume hulala chumba chao. Huwekeana zamu za kuwa faragha ambapo familia hutoka kwenda kutembea beach na kwingineko.Sasa ndio ujue kwanini wenza hulala pamoja - huenda hakuna ulazima huo sana.Leteni michango zaidi

2. Kulala pamoja/karibu kwaweza kuwa kero kama mmoja anakoroma au analala vibaya au kuwa na harufu zisizopendeza kama za pombe,kutooga kabla ya kulala etc.

3. Kulala pamoja huweza kuongeza upendo na ukaribu wa wapendanao.Uwezekano wa kusuluhisha migogoro ni mkubwa kama wenyewe wahusika watakaa karibu zaidi ( kitanda kidogo huongeza uwezekano!)

Haya tuendelee jamani.....
 
Wos hiyo jamii naomba uitaje tafadhali.....
Mimi nafahamu white house first lady ana chumba chake......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom