Siwezi kumzungumzia Kinana si saizi yangu Dk slaa

Dk slaa ameyasema maneno haya leo wakati akihutubia mkutano wa hadhara, katika uwanja wa shule ya msingi uwanja wa ndenge morogoro

Ofcoz, Wil Slaa si saizi ya Abd Kinana...ni ukweli usiopingika kabisa! Yaani ni mbingu na ardhi...uhai na kifo....maji na mafuta kabisa
 
Ofcoz, Wil Slaa si saizi ya Abd Kinana...ni ukweli usiopingika kabisa! Yaani ni mbingu na ardhi...uhai na kifo....maji na mafuta kabisa

Dr. wa udini, eti mkuu wa mkoa mtwara atolewa kisa mkristu.!!

s
 
ukimuweka wenje na Nappe pamoja, utakua umempendelea Nappe.!!

mhuni wenje anayegeuzia wenzake marafiki wa chama chake maliberali ndio umfananishe na comred nape! Akishauri chama chake kiachanane na mashoga kwanza ndio umlete hapa
 
Ofcoz, Wil Slaa si saizi ya Abd Kinana...ni ukweli usiopingika kabisa! Yaani ni mbingu na ardhi...uhai na kifo....maji na mafuta kabisa

mtu ambaye amegeuza chama kuwa saccos, anajitochotea mamilioni zaidi ya 140 ya chama yanayotokana na ruzuku, utamfananisha vp na kiongozi makini, strategist ambaye hata mhariri wa magazeti ya chadema ameshamsifia na kuwatahadharisha
 
Ofcoz, Wil Slaa si saizi ya Abd Kinana...ni ukweli usiopingika kabisa! Yaani ni mbingu na ardhi...uhai na kifo....maji na mafuta kabisa

HKigwangalla sasa hapa ndo umeandika nini wewe mliberali?

Huna sifa ya kuwa kiongozi, ni bahati mbaya kuwa ccm ni nyumba ya wahalifu.

Kwanza unatoa rushwa tena ya kijinga kabisa. Unahonga vitumbua!?
Pili umewaibia wakulima wa pamba kupitia kampuni yako ya MSK SOLUTION katika fedha za stimulus package ambayo ulipewa na serikali ili kuwanusuru wakulima wa pamba kutokana na mdororo wa uchumi uliosababisha kushuka kwa bei ya pamba katika soko la dunia. Mtu unayewaibia wananchi masikini unawezaje kuwa na sifa ya kuwa kiongozi kama si ubwegge wa ccm!?

Tatu unanuka udini hadi kupendekeza RC wa Mtwara afukuzwe kazi na kuteuliwa muislamu wenzako. Huo ni ushauri wa kiuendawazimu.

Ndo maana ulizabwa vibao na OCD wa Nzega kwakuwa alikuona huna kiwango cha kuheshimiwa na mtu yeyote makini.
 
Last edited by a moderator:
saizi yake kivipi. Ule ubwatukaji wa nape! slaa ni sawa na mwalimu nyerere achani atufunze kifikra viva cdm.
 
Back
Top Bottom