Siwezi kula utumbo wa ng'ombe hata uniwekee bastola kichwani

Huwa najiuliza sana hivi nyie ambao huwa mnakula utumbo wa ng'ombe huo ujasiri huwa mnautoa wapi?

Tena bora ule utumbo wa taulo kuliko ule mwingine wa bomba. Kiukweli nikila utumbo huwa naona nakula kinyesi kabisa.

Mnyama yyte anae kula majani tu na utumbo wake ukasafishwa na kuchemshwa vizuri hauna madhara, wengi hushindwa kuundaaa ndio maana wewe unauonea aibu na kinyaaaa.
 
Huwa najiuliza sana hivi nyie ambao huwa mnakula utumbo wa ng'ombe huo ujasiri huwa mnautoa wapi?

Tena bora ule utumbo wa taulo kuliko ule mwingine wa bomba. Kiukweli nikila utumbo huwa naona nakula kinyesi kabisa.
Wahi mirembe mkuu!! Na miguu na vichwa vya kuku??
 
Watu wanakula utumbo mbichi wewe waogopa uliopikwa.
Ila mimi pia hunilishi utumbo wa kitu chochote
 
Back
Top Bottom