Siwezi kuishi bila penzi la Diamond!!

dazipozi

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
1,137
106
Katika hali isiyo ya kawaida msichana 1 kutoka mkoani Kirimanjaro aliyejitambukisha kwa jina la Yusra Bakari amejitokeza hadharani kuwa anampenda Diamond kupita kiasi, na yuko radhi kuoldwa nae wakati wowote. Pia amesema huu mwaka wa tatu Diamond anautesa moyo wake.

Msichana huyo kasema ameshatapeliwa sana na watangazaji wa Kirimanjaro walio ìtaji pesa ili wamuunganishe mwisho wa siku wanampa namba feki!
 
hahaha atakuwa juha kweli huyo binty duh.
wanawake bana nadhan 2ko wengi had 2nabore mmh...............mpaka kajitangaza duuh kaz kwelkwel.
 
Ganja bhana!!
Diamond mwenyewe
keshashindikana
atamuwezea wapi?
Aendelee kupalilia
migomba huko
mamndenyii atapata
mavuno aache upumbafu
 
namba ya diamond

0775039835 mwambie apige hapo atampata tuu..
 
na mfaham diamond in-and out- he used to be a gay..hata hao madem anafanya ili kuficha upuuzi wake...hivi we dazipozi unafanya kazi gazeti la udaku??? mbona thread zako nyingi ni pumba??

#justasking!

ya kweli haya.......just curious to know!
 
na mfaham diamond in-and out- he used to be a gay..hata hao madem anafanya ili kuficha upuuzi wake...hivi we dazipozi unafanya kazi gazeti la udaku??? mbona thread zako nyingi ni pumba??

#justasking!
basi nitaleta mchele
 
Mx
 
3157554][/COLOR]na mfaham diamond in-and out- he used to be a gay..hata hao madem anafanya ili kuficha upuuzi wake...
halooooooooooo! Mbagala boy kumbe ndio vileeeeee! duh kama kweli ndizi ishaanguka kwenye mchanga hailikitena....

Kama anawashwa mwambie aingie feisi buku amtafute then amwambie ana ny*ge kwa vike kajamaa ndo kazi yake katamkuna tu, taka dudu uyo.
 
Back
Top Bottom