DALLAI LAMA
JF-Expert Member
- Jan 31, 2012
- 8,651
- 2,627
Kwani siri? Mwakyembe kapewa sumu na mafisadi.ila wanatusafishia njia mbeya coz magamba kule hawatakiwi hata kuonekana.
Eeh bana eh ni kweli kuku asipototoa unaweza kumshika na kumchinja kiurahisi ,lakini akishatotoa na akiwa na vifaranga huthubutu dukweli kuku aliyetotoa hachinjwi......
Vifaranga vinamfanya awe jeuri....
Mwakyembe na wanakamati wenzake waliteketeza million 400 za wanyonge kuchunguza sakata la Richmond. Mwisho wa siku tukasomewa report nusu! Tanzania ni nchi ya raha sana! shame on them mnaomwonea huruma Mwakyembe.
Mwakyembe na wanakamati wenzake waliteketeza million 400 za wanyonge kuchunguza sakata la Richmond. Mwisho wa siku tukasomewa report nusu! Tanzania ni nchi ya raha sana! shame on them mnaomwonea huruma Mwakyembe.
Mbona Sitta naye ni mgonjwa wa akili,kwa nini hasemi alomlisha sumu!
Siasa za Kenya zimepiga hodi Bongo hakuna tena ummoja kila mtu au kikundi na lwake.
The bolded lines give a clue on who is behind the poisoning of Dr Mwakyembe. An attempted murder for Mwakyembe is no match for legally use of public fund to investigate Richmond. Mimi ningekuwa police ningeanza na watuhumiwa wote wa Richmond saga as prime suspects.
unadhani wahusika hawajulikani?angalia kuna thread hapo juu kuhusu Fred Lowassa kuhangaika kuchapa faili la mwakyembe kwenye gazeti la mtanzania la kesho
Sitta kaishiwa hoja amebaki kubwabwaja
Daima ukishavaa miwani ya unafiki unakuwa huoni mbali.The bolded lines give a clue on who is behind the poisoning of Dr Mwakyembe. An attempted murder for Mwakyembe is no match for legally use of public fund to investigate Richmond. Mimi ningekuwa police ningeanza na watuhumiwa wote wa Richmond saga as prime suspects. Yaani mtu bila haya wala kujua vibaya unawa-shame watu wanaomuonea huruma mtu aliyepewa sumu?. Roho kama hizi ni more than killer's minds. Inaonekana wazi kuwa kitendo cha kumwangusha chini huyu bwana kimewauma sana walioathirika na Richmond kwa posts kama hizi.