Sitta: Polisi wana ushahidi Mwakyembe kupewa sumu

Kwani siri? Mwakyembe kapewa sumu na mafisadi.ila wanatusafishia njia mbeya coz magamba kule hawatakiwi hata kuonekana.
 
Duh!, hii vita kweli ni kali. Sitta kama angekuwa ni mbunge tu si waziri wa serikali inayopaswa kusimamia sheria ningekuwa na mashaka na ayasemayo ila ni dhahiri kuwa anachokiongea kina ukweli na wahalifu wanajulikana ila polisi inawaogopa.

Last edited by a moderator:
Mwakyembe na wanakamati wenzake waliteketeza million 400 za wanyonge kuchunguza sakata la Richmond. Mwisho wa siku tukasomewa report nusu! Tanzania ni nchi ya raha sana! shame on them mnaomwonea huruma Mwakyembe.
 
Acha wafe unafiki wao unawamaliza,
sitta si ndiye aliyezima hoja ya richmond na huyu mgonjwa akaficha siri zingine za richmond ili kulinda heshima ya serikali!
Naan ,
sasa siri ya serikali ameijua!
 
Naombea harambee ya makanisani ifanyike Kyela ,ili tupime tsunami ya wana Kyela itakavyokuwa
 
Hivi tujifanye kwamba maneno haya kayasemaLema , Mnyika , Mbowe , Slaa , ingalikuwa vipi na serikali hii ? Maana Sittaanakomaa kidogo anaombwa ushahidi watu wa upande wa pili hali ingalikuwaje ?
 
Naombea harambee ya makanisani ifanyike Kyela na Mwakaleli ,ili tupime tsunami ya wana Kyela na Mwakaleli itakavyokuwa
 
Mwakyembe na wanakamati wenzake waliteketeza million 400 za wanyonge kuchunguza sakata la Richmond. Mwisho wa siku tukasomewa report nusu! Tanzania ni nchi ya raha sana! shame on them mnaomwonea huruma Mwakyembe.

Umenena!
 
The bolded lines give a clue on who is behind the poisoning of Dr Mwakyembe. An attempted murder for Mwakyembe is no match for legally use of public fund to investigate Richmond. Mimi ningekuwa police ningeanza na watuhumiwa wote wa Richmond saga as prime suspects. Yaani mtu bila haya wala kujua vibaya unawa-shame watu wanaomuonea huruma mtu aliyepewa sumu?. Roho kama hizi ni more than killer's minds. Inaonekana wazi kuwa kitendo cha kumwangusha chini huyu bwana kimewauma sana walioathirika na Richmond kwa posts kama hizi.
 
Siasa za Kenya zimepiga hodi Bongo hakuna tena ummoja kila mtu au kikundi na lwake.
 
Mbona Sitta naye ni mgonjwa wa akili,kwa nini hasemi alomlisha sumu!

uwe na nidhamu kumtukana mzee utapata laana kama jusa.mimi binafsi sikubaliani naye katika mambo mengi lakini siwezi kumtukana
 
Siasa za Kenya zimepiga hodi Bongo hakuna tena ummoja kila mtu au kikundi na lwake.

ndio ukuaji wa demokrasia tatizo ni kwamba kwenye hii game wanasiasa vijana ni wachache sana na hata kama wapo walifika hapo walipo shauri ya uwepo wa wazazi wao kwenye siasa na wala si uwezo.
 
The bolded lines give a clue on who is behind the poisoning of Dr Mwakyembe. An attempted murder for Mwakyembe is no match for legally use of public fund to investigate Richmond. Mimi ningekuwa police ningeanza na watuhumiwa wote wa Richmond saga as prime suspects.

unadhani wahusika hawajulikani?angalia kuna thread hapo juu kuhusu Fred Lowassa kuhangaika kuchapa faili la mwakyembe kwenye gazeti la mtanzania la kesho
 
Jana niliweka ujumbe wa Nape hapa from FB. ukiunganisha na hil la Sitta, its true kuwa Mwakyembe kalishwa sumu. Japo kwa upande mwingine anapata mshahara wa dhambi ya kutoa ripoti nusu nusu na kumlinda Mkuu wa Kaya. Mwenzake Manyanya amelamba ukuu wa mkoa na masiha yanamwendea vizuri.

Tatizo hapa ni la sitta na Nahodha. Unapoona kwenye serikali moja na ya chama kimoja, mawaziri wanalumbana hadharani kwa swala sensitive kama hili ujue kuna bomu litalipuka soon
Ni wakati muafaka JK alivunje hili baraza la mawaziri japo nahisi anamsubiri Mama Migiro arudi ili ampatie kawizara kamoja. But it might be too late for him.

The other thing ni kuwa hili swala la kuuana ndo mpango mzima kwa CCM. wanaotaka ubunge majimboni wanatoa kafara mpaka watoto wao, sasa kwenye urais sijui watakufa wangapi.
Jamani wale ambao huwa mnajitahidi kuiombea nchi amani nomba sasa maombi yenu yawe ya kukesha maana hali ni mbaya.
 
The bolded lines give a clue on who is behind the poisoning of Dr Mwakyembe. An attempted murder for Mwakyembe is no match for legally use of public fund to investigate Richmond. Mimi ningekuwa police ningeanza na watuhumiwa wote wa Richmond saga as prime suspects. Yaani mtu bila haya wala kujua vibaya unawa-shame watu wanaomuonea huruma mtu aliyepewa sumu?. Roho kama hizi ni more than killer's minds. Inaonekana wazi kuwa kitendo cha kumwangusha chini huyu bwana kimewauma sana walioathirika na Richmond kwa posts kama hizi.
Daima ukishavaa miwani ya unafiki unakuwa huoni mbali.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom