Sitta: Mtandao CCM mwisho November 2012!

Sita ni mnafiki sana na ni mlopokaji kama vuvuzera,
Sasa wazunguke nchi nzima kuwaeleza nini wananchi?vua gamba ilishindikana au wanataka kuwaeleza wananchi jinsi walivyojimilikisha chama na familia zao?
 
Nimekubari kauli yako Father of All. Ndicho alichokuwa akimaanisha kwani hata kama yeye atajifanya yuko tayari kushirikiana na wale wamakundi mengine, kundi la Lowasa kamwe halitakuwa tayari kushirikiana na yeye. Ni ama akubari kuondoka chamani au akubari kuwa huo ndio mwisho wake kisiasa.

Sitta anasema ukweli ingawa kwa njia tofauti. Novemba ya 2015 CCM itakapopigwa chini utakuwa mwisho wa mitandao ya ujambazi inayowafagilia majambazi na mafisadi kugombea urais akiwamo yeye Sitta.
 
Back
Top Bottom