Mama Sitta Tabora umeolewa tu kwenu Mbeya, tuache Wanyamwezi tupumue.
Anauhakika Tabora hamna lami? Kwanza kesi yake ya Rushwa ajue tunaifaham.
Si wanajifanya wanazi wa chama wasubirie hizo lami kama wataziona.Tabora mna mbunge kama Rage mnatarajia kupata barabara za lami kweli.RAGE kashindwa hata kuiendesha club ya SIMBA.Ila msipate shida CDM TUNAKUJA NA LAMI ZITAWEKWA MPAKA KALIUA NA URAMBO YOTE
CCM imewatelekeza wapiga kura kila mbunge wa ccm yuko busy kulimbikiza mali kwasababu wameshasadiki kuwa 2015 ccm bye bye na CHADEMA inatwaa serikali rasmi.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Hata mi naonakwa kuiba kura, kununua shahada, kugawa t shirt kofia kanga, kupanda na bastora mkutanoni pamoja na mwigulu kutambika kwa kuwagongea wake zao
Aliyekuwa Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi ambaye kwa sasa ni mbunge wa viti maalum Tabora Mh.Magregth Sitta akichangia hotuba ya wizara ya ujenzi amesema ameishangaa serikali kujenga barabara za lami katika majimbo ya upinzani wakati wapinzani hawaoni juhudi hizo za serikali na kusahau majimbo ya CCM ambayo.
"Tabora wabunge wote ni CCM lakini hatuna hata barabara moja ya lami, lakini majimbo ya wapinzani mengi yana lami lakini bado hawana shukrani wanaishia kulaumu tu. Mjifunze kushukuru..."

ccm ndivyo wanavyotaka wewe vumilia tu, ndio utakuwa mwana ccm mzuri ukingangania kulalamika sasa hivi utaitwa chadema au mpinzani na nafasi yako kwenye chama itakuwa ndogo sana, wewe endelea kusema ndioooo!!!!!! kama wenzako wanavyofanya,unaweza kupewa uwaziri tena kama wanavyofanya wabunge wenzako wa Tabora wanalaumu lakini wanasema ndiooooo!!!!!!!! ccm inazama wanazama nayoAliyekuwa Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi ambaye kwa sasa ni mbunge wa viti maalum Tabora Mh.Magregth Sitta akichangia hotuba ya wizara ya ujenzi amesema ameishangaa serikali kujenga barabara za lami katika majimbo ya upinzani wakati wapinzani hawaoni juhudi hizo za serikali na kusahau majimbo ya CCM ambayo.
"Tabora wabunge wote ni CCM lakini hatuna hata barabara moja ya lami, lakini majimbo ya wapinzani mengi yana lami lakini bado hawana shukrani wanaishia kulaumu tu. Mjifunze kushukuru..."
Igunga na Nzega ipo mkoa gani?
Huyo mama hana cha kupoteza kwa sababu ubunge wake hajautolea jasho ni wa kupewa tuu..!!!Lakini asijisahau sana kwa sababu siku za wabunge wa viti maalum ZINAHESABIKA.Aliyekuwa Waziri wa Elimu na mafunzo ya ufundi ambaye kwa sasa ni mbunge wa viti maalum Tabora Mh.Magregth Sitta akichangia hotuba ya wizara ya ujenzi amesema ameishangaa serikali kujenga barabara za lami katika majimbo ya upinzani wakati wapinzani hawaoni juhudi hizo za serikali na kusahau majimbo ya CCM ambayo.