kaburini
hii inasibitisha kwamba mods wamejitahidi. JF inapatikana mpaka makaburini sasa. keep it up mods.
Aisee nimecheka mpaka nimekufaSitosahau enzi hzo napga busness ya kuiba mfuta kwenye magari. Sku moja nikiwa kazn gari lililipuka puuu..., likawaka moto. Nilishka moto nikawaka HADI KUFA!, Nashkuru nilizikwa kwa wakti kbla sjaharibika.