Sitosahau nilipopokelewa na dragon nilipokwenda kwa mganga

Daah unapojidanganya unaujua ulimwengu huu basi kiukweli huujui kabisa au unaijua sehemu ndogo sana

Kuna siku nilikwenda kwamganga na jamaa yangu ili nikamtengeneze mwanamke mmoja kwenye masuala fulani fulani..

Tulikuwa tunakwenda huko Bariadi ndani ndani na ilikua lazima tupitie ziwani na lazima iwe usiku wa manane

Nakumbuka tunapanda mtumbwi na mwenyeji wangu ananiambia nisijali tunaelekea bariadi,,

Hatujafika mbali mtumbwi ukapinduka juu chini ,wote tukapoteza vitu kwa kua vilizama, kuhamaki tunakunywa vikombe vya maji vya kufa mtu

Nikajikuta natembea eneno nisilolijua jioni kwa mbali naona ni kama nyumba zile za zamani sana,ghafla naona dude hilo mbele yangu bonge la dragon linapumua moto,ajabu moto ule haukuniunguza hata...

Likanyosha mkono kunitaka nielekee mbele

Nafika mbele nakuta mtoto mchanga akininyooshea kidole kuniashiria nikate kulia,jamani mambo yanatisha sana haya

Kufika mbele naona mtoto mchanga kasimama hacheki wala hatikisiki akionesha ishara nielekee kushoto

Kufika nakaribishwa na kuelekezwa ndani ya chumba kimoja nipumzike
Asubuhi wkati wa jua kuchomoza nikajikuta nimelala kutandani mzma kabisa nipo peke angu na baada ya kuangalia mle ndani nikagundua palikua ni kwamganga mwenyewe(jina naifadhi) na jana yake nilichoka sana

Ajabu ni kua vitu vyangu vyote vilivyozama nilivikuta pale na nilikabidhiwa wakati wa kutaka kuondoka

Ila nilijifunza vichache;

Hao watu wa ulimwengu huo wanafurahia mno baadhi yawatu wanavyodanganyana mambo haya hayapo. Wanafurahia sana na wanapenda...

Nakumbuka nilipewa sharti la kulala na tipwa tipwa fulani na nikapewa sharti la kutokojoa isipokua kwenye kopo maalum

Njiaya kurudi ilikua ni ile ile na utaratibu uleule... ajabu narudi jamaa yangu namkuta mzima waafya anacheka tu,kumbe jamaa naye ni mpana kwenye ilmu hii daaah

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Duuuh hataree
 
Kwa mganga utarnda tu kijana sema bado ujapambana na masibu ya ulimwengu vizuri. HATA mimi nilikuwa naongea na wewe ila ili niradhimu kufika kwa mganga.

Ni baada ya kaka yangu kuugua ugonjwa wa ukichaa yani mtu anakuwa chizi kabisa.Pambania mgonjwa hospital kwenye wodi ya vichaa karibu miezi kadhaa ila wapi.

Mwisho daktari mmoja akatuvuta pembeni akasema hapa mnapoteza muda kajaribu tiba za kienyeji na kweli tulienda kule na mgonjwa akapona kwa mara ya kwanza nilikanyanga kwa Mganga kusimamia show ya matibabu
Hii kitu nilikuwa nafanya sana, nilikuwa nadharau waganga ila nilienda baada ya wife kuwa akisumbuliwa na tumbo kila mara tena mara nyingi usiku pia mwili wote unaishiwa nguvu. Nilimpeleka kila Hospital ili apatiwe vipimo lakini hatukupata ugonjwa ilinibidi niende kwa mganga.
 
Kwa mganga utarnda tu kijana sema bado ujapambana na masibu ya ulimwengu vizuri. HATA mimi nilikuwa naongea na wewe ila ili niradhimu kufika kwa mganga.

Ni baada ya kaka yangu kuugua ugonjwa wa ukichaa yani mtu anakuwa chizi kabisa.Pambania mgonjwa hospital kwenye wodi ya vichaa karibu miezi kadhaa ila wapi.

Mwisho daktari mmoja akatuvuta pembeni akasema hapa mnapoteza muda kajaribu tiba za kienyeji na kweli tulienda kule na mgonjwa akapona kwa mara ya kwanza nilikanyanga kwa Mganga kusimamia show ya matibabu
Kwa nini msingeenda kwenye makanisa ya wahubiri na mitume?
 
Back
Top Bottom