Sitosahau nilipopokelewa na dragon nilipokwenda kwa mganga

Kwa mganga utarnda tu kijana sema bado ujapambana na masibu ya ulimwengu vizuri. HATA mimi nilikuwa naongea na wewe ila ili niradhimu kufika kwa mganga.

Ni baada ya kaka yangu kuugua ugonjwa wa ukichaa yani mtu anakuwa chizi kabisa.Pambania mgonjwa hospital kwenye wodi ya vichaa karibu miezi kadhaa ila wapi.

Mwisho daktari mmoja akatuvuta pembeni akasema hapa mnapoteza muda kajaribu tiba za kienyeji na kweli tulienda kule na mgonjwa akapona kwa mara ya kwanza nilikanyanga kwa Mganga kusimamia show ya matibabu
Upo sawa kabisa
 
NAMNUKUU MWANA JF MMOJA
Nyumba ya mganga na nyumba ya Chifu haipungukiwi ni msemo wa wazee huo. Umemtibu mtu analeta shukrani kwa alichofanikiwa.
Sifa za Mganga wa kweli.
Mganga wa kweli hakutozi hela nyingi kuliko alivyopangiwa na mizimu iliyompa uganga maana uganga wa kweli lengo lake ni kusaidia jamii, uganga ni jadi na lengo lake ni kuisaidia jamii toka enzi na enzi ni bahati mbaya sana kuufanya uganga kuwa dili la kuwaibia watu, hii sio lengo la uganga kwa asili yake.

Uganga wa kweli mara nyingi ni ule unaotokana na kurithi toka kizazi mpaka kizazi sio ule wa kujifunza,ukanjanja, udii na ulozi wa kuwatupia watu mabalaa kwa lengo la waje uwatibu.

Mganga wa kweli lazima atakukurahishishia shida ulionayo na kama imemzidi uganga atakwambia au atakuposti kwa wajuaji zaidi wa shida yako (Waganga wanafahamiana kwa uwezo na nyanja kama walivyo walozi).

Mganga wa kweli atakutibu ili upone ndo akufaidi zaidi kwa shukrani na zawadi na uaminifu wako kwake na ndio faida ya uganga wa kweli. Huyu mganga hutamwacha kamwe kwenye kulingana na alivyotatua shida yako.

Kuna jangiri alijeruhiwa na nyati porini nyati alivunja vunja miguu, yule mwamba wenzie walimbeba mpaka kijiji cha jirani huko Katavi kwa mganga. Mganga akawaambia wale wenzake mje mumchukue baada ya wiki tatu muache debe moja la unga. Wenzie waliporudi baada ya wiki 3 walikuta anatembelea fimbo na akapona mifupa na akarudi kwenye ujangiri wake na akipata mnyama lazima apeleke nyama kwa Mganga.

Onyo: Nazungumzia waganga wa kweli sio matapeli wa mjini na mapropesa.

Watu wanaibiwa na wanachanganya sana kati ya Ulozi, Ugagula, Uganga na Mazingaombwe, kiini macho.

MIMI NAANDIKA NA NINA MGANGA WA UHAKIKA
Kama mtu anataka mganga wa uhakika mganga wa Tanga aje pm ilaa aandae kunitumia 20,000 Kwa ajili ya connection.
Anatibu Kwa kutumia jinalako na mama Yako.
Kulingana na tatizo kubwa sana anaweza kukuambia uende Tanga mjini.

Alisikika m Tanzania mmoja akisema Vibora vinagharama. ( Quality is Expensive) kama hutaki unataka cheap chukua ya kwenye nguzo. za umeme utapeliwe.
Nikimtapeli mtu anireport nipigwe life ban
Karibuni PM/DM

Tatizo kubwa ni usumbufu wawatu
Kuja dm na kukimbia
kuuliza maswali yasiyo na kichwa Wala miguu
waulizeni wenzenu niliowapa namba jinsi wamefanikiwa kimaisha.

Watu wanaamini uganga hausaidii watu asikudanganye mtu waganga uzunguni ni matajiri sana kama unataka uamini
Ingia TikTok Kuna jamaaa anaitwa DANIEL MACDONALD anaulizaga wazungu matajiri what do you do for a living, wengi ni waganga na wale dream tellers watafsiri wa ndoto Wana magorofa magari na maisha Bora sana na conclude
mganga anatibu matatizo mengi ni ww kumweleza tatizo lako karibuni
 
Mkuu nipe connection ya huyo mganga na mimi nipeleke shida zangu. Zimenielemea. Choddi
 
Babu yangu alikuwa mganga, ameshapumzika. Sasa ndo tukasikia mkoba wake unataka mwanae mdogo wa kiume(mjomba wangu) jamaa akawa anakimbiakimbia, ikafika kipindi akaumwa akakonda nafikiri alifikia kuwa kama msitimu wamepita mahospitali wakapima yote waliyopima mtu yupo fresh tu hana hata mafua, later then wakaambiwa huyu anaukimbia mkoba mtatibia daima na milele hatopona wakamrudisha village wakamfanyia utaratibu wa kumpa mizigo yake huku kalala hapo kwenye mkeka hajiwezi, asubuhi katoka anatembea mwenyewe yaani kama hakuna lililotokea, ila jamaa bado hajakubali ile ishu yaani mpaka leo hana kiringe, kazi zake za kupigiwa simu njoo mwanza bwana kuna mgonjwa, ni mjomba angu huyu namtaniaga sana kwa hii ishu
 
🤣🤣🤣Sometime ninyi watunzi sijui mnawaonaje wasomaji. Ukapokelewa na Dragon? Yaani nimecheka sana. Alikusimulia nani kwenye zile hadithi za watoto?
 
NAMNUKUU MWANA JF MMOJA
Nyumba ya mganga na nyumba ya Chifu haipungukiwi ni msemo wa wazee huo. Umemtibu mtu analeta shukrani kwa alichofanikiwa.
Sifa za Mganga wa kweli.
Mganga wa kweli hakutozi hela nyingi kuliko alivyopangiwa na mizimu iliyompa uganga maana uganga wa kweli lengo lake ni kusaidia jamii, uganga ni jadi na lengo lake ni kuisaidia jamii toka enzi na enzi ni bahati mbaya sana kuufanya uganga kuwa dili la kuwaibia watu, hii sio lengo la uganga kwa asili yake.

Uganga wa kweli mara nyingi ni ule unaotokana na kurithi toka kizazi mpaka kizazi sio ule wa kujifunza,ukanjanja, udii na ulozi wa kuwatupia watu mabalaa kwa lengo la waje uwatibu.

Mganga wa kweli lazima atakukurahishishia shida ulionayo na kama imemzidi uganga atakwambia au atakuposti kwa wajuaji zaidi wa shida yako (Waganga wanafahamiana kwa uwezo na nyanja kama walivyo walozi).

Mganga wa kweli atakutibu ili upone ndo akufaidi zaidi kwa shukrani na zawadi na uaminifu wako kwake na ndio faida ya uganga wa kweli. Huyu mganga hutamwacha kamwe kwenye kulingana na alivyotatua shida yako.

Kuna jangiri alijeruhiwa na nyati porini nyati alivunja vunja miguu, yule mwamba wenzie walimbeba mpaka kijiji cha jirani huko Katavi kwa mganga. Mganga akawaambia wale wenzake mje mumchukue baada ya wiki tatu muache debe moja la unga. Wenzie waliporudi baada ya wiki 3 walikuta anatembelea fimbo na akapona mifupa na akarudi kwenye ujangiri wake na akipata mnyama lazima apeleke nyama kwa Mganga.

Onyo: Nazungumzia waganga wa kweli sio matapeli wa mjini na mapropesa.

Watu wanaibiwa na wanachanganya sana kati ya Ulozi, Ugagula, Uganga na Mazingaombwe, kiini macho.

MIMI NAANDIKA NA NINA MGANGA WA UHAKIKA
Kama mtu anataka mganga wa uhakika mganga wa Tanga aje pm ilaa aandae kunitumia 20,000 Kwa ajili ya connection.
Anatibu Kwa kutumia jinalako na mama Yako.
Kulingana na tatizo kubwa sana anaweza kukuambia uende Tanga mjini.

Alisikika m Tanzania mmoja akisema Vibora vinagharama. ( Quality is Expensive) kama hutaki unataka cheap chukua ya kwenye nguzo. za umeme utapeliwe.
Nikimtapeli mtu anireport nipigwe life ban
Karibuni PM/DM

Tatizo kubwa ni usumbufu wawatu
Kuja dm na kukimbia
kuuliza maswali yasiyo na kichwa Wala miguu
waulizeni wenzenu niliowapa namba jinsi wamefanikiwa kimaisha.

Watu wanaamini uganga hausaidii watu asikudanganye mtu waganga uzunguni ni matajiri sana kama unataka uamini
Ingia TikTok Kuna jamaaa anaitwa DANIEL MACDONALD anaulizaga wazungu matajiri what do you do for a living, wengi ni waganga na wale dream tellers watafsiri wa ndoto Wana magorofa magari na maisha Bora sana na conclude
mganga anatibu matatizo mengi ni ww kumweleza tatizo lako karibuni
Mwenye uthibitisho wa huyu mwamba aje maana nataka connection matatizo ni mengi duniani. Kunavijiganga vinatulia pesa tu
 
Back
Top Bottom