Sitegemei kuwasikia viongozi wa CCM na serikali yake kupongeza maamuzi ya mahakama ya Kenya

Hahaha ....Chadema wanawahi propaganda ili mjadala usiwe wao kushindwa kuunga mkono wapinzani wenzao licha ya ushahidi wa wazi wa ubatili wa uchaguzi....alafu wakipigwa na CCM wanataka jumuiya za kimataifa ziwaunge mkono ....mapenzi ya EL yakawa ya chama ...aibu sana ....ila CCM pia jifunzeni demokrasia ya Kenya .....mfano bora kabisa ...
 
Ninachopongeza ni kuwa mwimili wa serikal(mahakama)huko kenya unajitegemea ndio mana hayo yamewezekana....njo Tz sasa miimil yote inaendeshwa kwa kaul ya chama kilichopo madarakan. Alaf wanakuja hapa wanajfanya kuibeza CDM
[HASHTAG]#mazwazwa[/HASHTAG]
 
Awawezi nchi mpaka leo aina jaji mkuu itapongeza nini labda kwa unafiki
 
Vipi timu uhuru kenyatta naona unajigeuza kinafiki vile kama zuzu. Ukiona chadema wanakuunga mkono jifikirie mara mbili mbili.
Dhambi ya kubadili gia angani daima itawatafuna kila kuchwao
Nionyeshe hata comment moja ya mimi kusifia uchaguzi wa Kenya hapa JF.
 
acheni uchaguzi urudiwe, atakayeshinda ndio muanze madongo, naipongeza sana tume ya kenya, sasa watu wa odinga mshaanza kushangilia,

nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
 
Hahaha ....Chadema wanawahi propaganda ili mjadala usiwe wao kushindwa kuunga mkono wapinzani wenzao licha ya ushahidi wa wazi wa ubatili wa uchaguzi....alafu wakipigwa na CCM wanataka jumuiya za kimataifa ziwaunge mkono ....mapenzi ya EL yakawa ya chama ...aibu sana ....ila CCM pia jifunzeni demokrasia ya Kenya .....mfano bora kabisa ...
Hujaenda kumsalimia mzee wa mihogo kule Canada mkuu?Hivi kule kuna mihogo?
 
Binafsi naipongeza sana Supreme Court ya Kenya kwa kutenda haki lakini nasema wazi sitaraji kusikia viongozi wa CCM na serikali yake wakipongeza demokrasia na utawala wa sheria tunaouona nchini Kenya hivi sasa.

Ni hawa hawa waliopongeza kilichotokea Zanzibar na ni hawa hawa wako kimya kuhusu katiba mpya itakayotupa Tume Huru na haki ya kupinga mahakamani matokeo ya uraisi.

Kitendo cha kuwawa kwa mtaalamu wa IT wa Tume ya Uchaguzi wa Kenya kilinisikitisha sana na ndio maana sikuwahi hata siku moja kumpongeza Uhuru Kenyata hata hapa JF.

Kama wakenya wataamua kumchagua mtu aina ya Magu maamuzi yao yaheshimiwe ila akiongoza kama Magu wasilaumu mtu cha msingi maamuzi ya Wakenya wengi nataka yaheshimiwe.

Hongereni sana wakenya!
Sasa kama kilichofanywa Kenya kwa hapa tanzania kiwe hakipo na hakiwezekaniki utakipongezaje kaka??

Yaani muwapongeze wenzenu kwa kuufuata utaratibu ambao nyie hamna, hamuutaki na wala sio kipaumbele chenu we unaona inakuja kweli Mkuu??
 
Hahaha ....Chadema wanawahi propaganda ili mjadala usiwe wao kushindwa kuunga mkono wapinzani wenzao licha ya ushahidi wa wazi wa ubatili wa uchaguzi....alafu wakipigwa na CCM wanataka jumuiya za kimataifa ziwaunge mkono ....mapenzi ya EL yakawa ya chama ...aibu sana ....ila CCM pia jifunzeni demokrasia ya Kenya .....mfano bora kabisa ...
Nionyeshe comment hata moja ya mimi kumpongeza Kenyata.
 
Kuna mahali wamesema Uhuru hakushinda?Au kuna sehemu wamesama Raila amesg
hinda??

In.short Chadema imeshinda kwa maana serikali ya Uhuru Kenyatta imewapa Uhuru wote Mahakimu kufanya maamuzi ambayo Wa naona ni sahihi na wametoa maamuzi ambayo ni sahihi,nayo nikusema IEBC hawakitenda haki wamevuruga uchaguzi hawajasema Uhuru Kenyatta ameshindwa.
Kwahio kazi ya Serikali ni kuipa uhuru Mahakama. Kwa mfano hapa Tanzania Serikali ikienda kumshtaki Lissu kwa uchochezi na Lissu anashinda, Serikali ndio huiagiza Mahakama itoe hukumu hio???

Chadema mbona hamueleweki? Mnafanya maamuzi angani mnachapwa mnaanza kulialia...
 
Sasa kama kilichofanywa Kenya kwa hapa tanzania kiwe hakipo na hakiwezekaniki utakipongezaje kaka??

Yaani muwapongeze wenzenu kwa kuufuata utaratibu ambao nyie hamna, hamuutaki na wala sio kipaumbele chenu we unaona inakuja kweli Mkuu??
We kweli Zero brain!!
 
Binafsi naipongeza sana Supreme Court ya Kenya kwa kutenda haki lakini nasema wazi sitaraji kusikia viongozi wa CCM na serikali yake wakipongeza demokrasia na utawala wa sheria tunaouona nchini Kenya hivi sasa.

Ni hawa hawa waliopongeza kilichotokea Zanzibar na ni hawa hawa wako kimya kuhusu katiba mpya itakayotupa Tume Huru na haki ya kupinga mahakamani matokeo ya uraisi.

Kitendo cha kuwawa kwa mtaalamu wa IT wa Tume ya Uchaguzi wa Kenya kilinisikitisha sana na ndio maana sikuwahi hata siku moja kumpongeza Uhuru Kenyata hata hapa JF.

Kama wakenya wataamua kumchagua mtu aina ya Magu maamuzi yao yaheshimiwe ila akiongoza kama Magu wasilaumu mtu cha msingi maamuzi ya Wakenya wengi nataka yaheshimiwe.

Hongereni sana wakenya!
Ccm wanajielewa siyo wakurupukaji kama chadema kitu kikitokea bila subira wanaitisha press Aisha kulaani au kupongeza. Tangu uchaguzi wa Kenya uishe chadema ndo wamekuwa wanaongoza kwenye heading za media na majarida kuliko hats wakenya wenyewe. Leo tena uchaguzi umefutwa hats second haijaisha tayari matamko ya chadema yanaongoza kibaya zaidi yanaonyesha kupingana na matamko yao waliyoyatoa baada ya uchaguzi. Sasa kaa ukijua ccm siyo wakurupukaji wanajua kulinda heshima yao on a sasa mnaaibika.....poleni.
 
Nasubiri Lowassa atoe tamko la kusifu mahakama za Kenya kwa kutengua ushindi wa "rafiki yake mpya" Kenyatta
 
Ccm wanajielewa siyo wakurupukaji kama chadema kitu kikitokea bila subira wanaitisha press Aisha kulaani au kupongeza. Tangu uchaguzi wa Kenya uishe chadema ndo wamekuwa wanaongoza kwenye heading za media na majarida kuliko hats wakenya wenyewe. Leo tena uchaguzi umefutwa hats second haijaisha tayari matamko ya chadema yanaongoza kibaya zaidi yanaonyesha kupingana na matamko yao waliyoyatoa baada ya uchaguzi. Sasa kaa ukijua ccm siyo wakurupukaji wanajua kulinda heshima yao on a sasa mnaaibika.....poleni.
Mbona jana Poloeple hakuchelewa kuipongeza mahakama baada ya kutengua matokeo ya ubunge wa Jimbo la Longido?

Acha kuwa mnafiki!!
 
Back
Top Bottom