Sitasoma tena gazeti la Mawio

Acha kununua, nitafidia hiyo hasara mimi kwa kununua mawili mawili kila Alhamis, Naona huna akili timamu wewe....Mtu kashasema mikono yake misafi na ameeleza kuwa Rais ndiye aliyebariki sasa ulitaka Gazeti liandike nini?

Kuna kitu Nimegundua kwa Watanzania wengi, Tunakosa taarifa sahihi na tunategemea sana taarifa za kuambiwa na tunapenda sana kulishwa Umbeya hadi rohoni badala ya kuishia kinywani.

Huyu ni mgojwa wa akili sasa kutokununua kwake gazeti anamkomoa nani? Huyu ni mmoja wa wanaoombea hili taifa lizame *****,
 
Karibu CCM. ila hata sisi kura tutampa Lowassa.

Nina wasiwasi na hii kauli kama kweli kaitoa MSALANI a.k.a Mussa Allan,nahisi hii akaunti imeingiliwa pamoja na hayo mtakubali tu mmoja mmoja kwa kutubu zambi zenu za kulitumikia pepo chafu CCM.


TATIZO LA VIONGOZI WENGI NI KUDHANI KUWA ADUI YAO LAZIMA AWE NI ADUI YETU - Nelson Mandela
 
Hilo Gazeti Ni Mwiba Sana Kwa Wanaccm Huwa Hawaligus Maana Linaongelea Ukweli Mtupu, Ata Hivi Una Bahati Hawajakuona Nalo Wenzioa Mngekosana
 
Lakini PICHA ZA UKOO WA CHADEMA Ukiweka humu hazikai.......Mangiiiiiiiiii
 
MzeePunch

watu waliacha kuangalia tbc na bado inatangaza wewe usiponunua mawio au kusoma usitegemee kwamba halitasomwa wala kusambazwa kwa wewe ni sawa na punje ya ulezi ndani ya gunia la ulezi kg 100
 
Last edited by a moderator:
Kasome Uhuru, Habari Leo, Jambo Leo, Raia Mtanzania huko utapata habari za mrengo wa kitaahira taahira roho yako ifurahi.
 
Kwanza hununuagi gazeti wewe, kusoma vichwa vya habari kwenye vijiwe vya magazeti halafu unatuletea uzushi hapa
 
Yaani yaliyojiri kukatwa kwa mamvi ndiyo yatakavyojiri kushindwa uchaguzi mkuu,nanyi sijui ukawa,chadema sijui ni maelezo gani yatawafanya watanzania waamini kama mlikuwa mnadanganya kwamba lowasa si fisadi,na udenda mlivyokuwa mnatoa na kushupaa,si mbowe,si lisu,slaa,mnyika,kwa kweli mpaka wananchi waelewe ipo kazi
 
MzeePunch

Usilisome mkuu wala haulazimishwi kulinunua ,katafute magazeti ambayo yatakuwa yanaandika habari unazozipenda au kuzitaka wewe.Ukiambiwa uuthibishe wizi au Ufisadi wa Lowasa utathibitisha ?
 
Last edited by a moderator:
kwa wakati huu kila mtu atajifanya ni chadema na kuwatukana viongozi wa CDM eti nilikua naikubali CDM lkn sasa ninaichukia huo niujinga jiwekeni wazi kuwa ninyi ni ccm tu. ilituwaelewe na kuwajibu kwa ufasaha...
 
Huyu jamaa mbulura sana kwani umelazimishwa kununua? Hili ni gazeti tu halimilikiwi na CHADEMA. CDM ni cdm tu, halafu nyie maccm mbona wabishi kufa au mna hirizi viunoni mwenu
 
Haya mtasemaje kuhusu uchambuzi wa Prof. Kitila Mkumbo ambaye ni mwanachama wa ACT.
 
MzeePunch

ulinunua la nini?.mimi kila wiki nanua nantazidia kununua mawilimawili ?
 
Last edited by a moderator:
Nina wasiwasi na hii kauli kama kweli kaitoa MSALANI a.k.a Mussa Allan,nahisi hii akaunti imeingiliwa pamoja na hayo mtakubali tu mmoja mmoja kwa kutubu zambi zenu za kulitumikia pepo chafu CCM.
[/QUOTE]

Ha ha ha.. Huyo ni ccm lakini ni mhanga wa kitengo.. Mgombea wake amekatwa na kitengo.. Anaona soo na yeye kuja kuvaa gwanda maana alikuwa anakutusi sana upande wa pili.. Ila kura yake ya uraisi iko kwetu.. Sina shaka na hilo..
 
MzeePunch

Umma wa Watanzania utawaukumu Ccm kukutengeneza mafisadi wanaokuja kupata sala yakitubio Chadema
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom