Sitaki kurudi nyuma...

Kama vipi piga punyeto fleva ni ile ile

ficha upumbavu wako u tin head,jamaa kasema anatamani kuwa na mpenz akuna sehemu jamaa kasema anataka msichana wa kutoa kipochi kama angetaka chip gal mbona wamejaa na mbunye wanauza kuanzia buku.nyeto ni yakwako na utapga hadi uzeeni uwaachie na wajukuu wako kama urisi
 
Pole sana, usikate tamaaa!
Pengine kuna vitu una vikosea.
1.pengine unafata mwanamke ambaye amuendani.

2.pengine maneno yako mengi unayo wambia wanawake hayana uhalisia hata kidogo na ulivyo( unajisifu sana)

3.pengine ni kuto jiamini kwako tu ndio tatizo.

Lakini me ninachojua kama umetoswa na wanawake 2 ni wachache wala sidhani kama unatongoza kweli kweli.

Na kwa huyo msichana uliye nae karibu jaribu kutengeneza mazingira na umwambie unampenda, usiogope kumpoteza huyo si ndugu yako, wewe mwambie mapema usipoteze muda wajanja wa town waka kuumiza tena.
Kuogopa kwako kumpoteza kuna weza kuwa sababu ya wewe kukaa kimya sababu una hofia kutoswa, achana na habari hizo we mwambie akikutosa sio mwisho wa maisha na usishangae na huyo kukutosa.

Natumaini utajipanga kufanikiwa usipoteze muda na mtu asiye ndugu yako wala usiogope kumpoteza.
 
Aisee issue siyo ya kwa kawaida.Bwana however bad mtu he or she is hawezi kukosa mpenzi kwa miaka yote hiyo.Kwa wale wanaojua mambo ya imani kwenye paji la uso wako umeandikwa you are not available,yani unakuwa we ni wa kukataliwa tu kwa lugha ingine umepakwa mavi na hii inawezekana kabisa na yule mpenzi wako kwanza au inaweza kuw a yeyote.Issue yako ni serious my dia kama una imani unahitaji kuomba sana kama we Mkristu nijullishe nitakuambia vitu vya kufanya.
 
No offence intended, muambie rafiki yako anaowadrop akupe hint mapema. The easiest means ni ku-act kama mfariji. Wenye kichwa ngumu kama king'asti wapotezee, u are not as strong.
All the best, kila mtu kaumbiwa wake.

lakini je ile dhana ya comparability haitakuwemo? na je ile ya mahawara hawaachani? just from my view
 
kuna wanaume wengine tongoza yao ni turn off kwa wanawake, so check the way unavyo approach mwanamke iwe na mvuto..unajua sometimes mwanamke anaweza akawa amekuona akakumaindi lakini ukianza tu kufungua mdomo wako basi umeshaharibu...
 
Kwa habari ya huyu mwenye kukataliwa kila upande, hakuna ujanja. Achukue leftovers afu a-assume total control na kumkimbia rafikiye.
lakini je ile dhana ya comparability haitakuwemo? na je ile ya mahawara hawaachani? just from my view
 
Ninayo haya kwangu, ijia basi.

Back kwa mtoa mada.
Tatizo unatongoza kama wajibu au kazi, au unaona kama kuwa na mpenzi ndio unakuwa kamili bila kujali mnafurahiana ama lah. sioni kama uko tayari kuwa na mpenzi au unataka kuridhisha ' your EGO' kuwa na wewe unaweza kuwa kwenye mahusiano.

Mwezi huu tu ushakataliwa na wawili na ushapenda mwingine tena. How?

Kuwa katika mahusiano si wajibu au lazima ni hisia kati yenu wawili, sioni kama umeshapenda kiasi cha kuwa na muwashawasha wa mapenzi kiasi hiko.

Lakini, mechi za mchangani si unapiga?

Nisaidie basi mshkaji, Nyani Ngabu na Kongosho nahisi wameniibia ile avatar! Nimeitafuta hadi darini na basement na sijaiona. Una contact usalama wa taifa?
 
Kwa habari ya huyu mwenye kukataliwa kila upande, hakuna ujanja. Achukue leftovers afu a-assume total control na kumkimbia rafikiye.

kwamaana nyingine huyu hana stata basi a apply theory ya ganda la muwa la jana chungu kuona kivuno........... lol!

duh! kaka hebu piga goti pengine una roho ya kukataliwa aisee.

je baba yako aliwah kuikataa mimba yako ama kukukataa ulipozaliwa?
je mama yako alishawah kutaka kuiharibu mimba yako ama kukutupa alipokuzaa?
je unaota ndoto za kuzini usingizini mara kwa mara?
je marafiki wa kawaida huwa wanakukubali?
 
sitaki kurudi katika hisia za kukataliwa lakini nashindwa jinsi ya kusonga mbele...

ukisema hivyo unakubali kushindwa.....kutaka tamaa ni dhambi mbaya sana na unajikosesha kuishi maisha uliyopaswa kuishi!!! It might take time , try different approaches!
Hakunaga kushindwa humu duniani banaaa.....ila usilazimishe maana unaweza kuharibu!!!
 
Najitahidi sana lakini mbele kiza...
 
Ninayo haya kwangu, ijia basi.

Back kwa mtoa mada.
Tatizo unatongoza kama wajibu au kazi, au unaona kama kuwa na mpenzi ndio unakuwa kamili bila kujali mnafurahiana ama lah. sioni kama uko tayari kuwa na mpenzi au unataka kuridhisha ' your EGO' kuwa na wewe unaweza kuwa kwenye mahusiano.

Mwezi huu tu ushakataliwa na wawili na ushapenda mwingine tena. How?

Kuwa katika mahusiano si wajibu au lazima ni hisia kati yenu wawili, sioni kama umeshapenda kiasi cha kuwa na muwashawasha wa mapenzi kiasi hiko.

Lakini, mechi za mchangani si unapiga?

Kuna kipindi nishapenda saana lakini mambo yakawa tofauti kabisaa,nilifanya wawili ili kupunguza risk ya kukataliwa ,kama akikataa mmoja basi mwingine akubali.....mwisho I lost all of them
 
kaka kaka sijui sana njia zipi huwa unazitumia bt u hv to know that kwanza lazima umuoneshe gl kama unamjali na kumthani si kwa pesa bali the way to talk to her, the way u chat unatumia maneno gani mazuri, yenye busara, yanayovutia nearly every mornie, mchana na jioni with da nyt yan, toka naye mpige story tu, mfurahi na umrudishe kwao bila kumwambia any thing abt lv kama mara kadhaa na ukiondoka tu mtumie sms ' i mic yu baby gl, or dear, umeshakula, pole na uchovu mama, siku ya siku atakubali tu
 
mapnzi smtz ni proces if u want 2 mek t hapen bt also ni action htokea Otomatcaly co ku4c!Jarib kujweka pemben watajsogza wnyw,jkip bze n kazi USIAMINI KUWA KTK LUV ndo uperfect!Chenj ur mindset, create nomo 4rndshp n girlz zen uwajue LIKES & DISLKES zao!
 
Back
Top Bottom