Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,162
- 701
Nimechoka. Yaani nasema nimechoka. Unless otherwise wapitie upya makato yao na kuweka gharama zenye mashiko, vinginevyo nitasafiri hata umbali mrefu kwenda kuweka pesa kwa wakala wa benki au benki kwenyewe.
Kuhamisha pesa Tsh 120,000/= kutoka Tigopesa kwenda benki wanakata Tsh 3,600/=? Na VAT ya Tsh 549 juu!
Not for me. This is too much!
Miaka kadhaa ya nyuma ilinitokea kwa M-Pesa; kutuma Tsh 100,000/= kutoka M-Pesa kwenda benki walinikata Tsh 3,000/=.
Nani anapanga haya makato na anaangalia nini katika pricing? This is Skinning us alive!
Bora ningepanda daladala kwenda kwa wakala tu maana kwenda na kurudi ni Tsh 800/= na kuweka pesa kwenye akaunti ni bure kabisa. Ningeokoa Tsh 3349/=; ambayo inatosha kabisa kufanyia angalau kitu kimoja cha maendeleo.
By the way kuna kesi nyingi tu za kuhamisha pesa kutoka kwenye simu kwenda benki na pesa hiyo ikachelewa sana kufika au ikashindwa kufika kabisa.
Nani anaweza kutusaidia kwenye hili - TCRA au BOT?
Maana watanzania wa kawaida twafaaaaaa........
Au tusitumie hizi huduma? Na hayo mapato na kodi vitatoka wapi?
Please Tigopesa, Please M-Pesa - Better something than nothing! Mupitie upya haya makato yenu ili tuweze kutumia zaidi huduma zenu. Vinginevyo turejee 1947 tu!