Sisi Watanzania ni wanafiki sana

Thank you!!!!

hatulaani ponda kushugjulikiwa tunalaani ponda kupigwa risasi hadharani mkuu, nihatari kuendekeza kupiga watu hadharani hatujazoea hayo, kwanini wasitumia mbinu nyingine kumdhibiti?
 
Unaweza kutukumbusha alishtakiwa kwa kosa gani hata akapewa adhabu ya kifungo cha nje?

Tanzania tulikwenda kwa moi kujifunza mbinu za multi party election how come the professor of politics did not teach us on how to deal with elements like how he dealt with sheikh balal permanently?
 
Sasa tukianza na asilia na uhalisi wa mtu ni asli gani? naona mmmh Mkuu, mie ndo wakwanza kutimuliwa kwa sababu wale waloko mipakani. Kwani TZ ina mipaka na nchi ngapi? hapo sasa ikiwa kila aliyekuja kutoka kwampakani arudishwe kwali ATABAKI mtu humu? Eee kweli wagogo watakuwa salio la NEW TANZANIA.!! ok mkuu tafakari na tujenge TAIFA letu imara.
God bless Tanzania na watu wake.

Godbless Tanganyika na watu wake nikiwemo mimi na wewe, au wewe sio mTanganyika?
 
Godbless Tanganyika na watu wake nikiwemo mimi na wewe, au wewe sio mTanganyika?
Nashukuru kuiombea TG. lakini ufanyavo hivyo wengine watajifaraguwa kusema God bless wachagaa,God bless wasukuma,God bless makabila yao!! Je itakuwa FAIR ? Mie ni TG/TZ Lakini upeo wangu na ni tofauti na wengi nchini.
Ninaamini kuvumiliana na kuheshimiana bila kuendekeza na kutawaliwa kwa misingi ya kiDINI ndiyo sahihi. hapo Umoja na uzalendo utakuwepo na UTAIFA utajengeka imara. " lakini matusi na kupakiziana na kufuata mikumbo ya wahuni " hayo mimi simo !! na nndiyo mwisho wetu.
Good luck hadi tutakapo onana somewhere.
 
we uliyeleta huu uzi ukome kabisa kutujumlisha kweny unafik wa wachache. ungesema baadhi ya watz na wewe mwenyew ndo wanafik
 
Nashukuru kuiombea TG. lakini ufanyavo hivyo wengine watajifaraguwa kusema God bless wachagaa,God bless wasukuma,God bless makabila yao!! Je itakuwa FAIR ? Mie ni TG/TZ Lakini upeo wangu na ni tofauti na wengi nchini.
Ninaamini kuvumiliana na kuheshimiana bila kuendekeza na kutawaliwa kwa misingi ya kiDINI ndiyo sahihi. hapo Umoja na uzalendo utakuwepo na UTAIFA utajengeka imara. " lakini matusi na kupakiziana na kufuata mikumbo ya wahuni " hayo mimi simo !! na nndiyo mwisho wetu.
Good luck hadi tutakapo onana somewhere.

jioni hivi karibu supu ya pweza karibu nananii hii pale ..
 
Hii nchi imejaa mafisadi, manafiki,maharamia,wahamiaji haramu,madhaifu, majizi,......wakuu nisaidieni kuendeleza list....
 
ivi mtanzania asili ni nani make historia inaonyesha kila moja ni mgeni hapa nchini. But for Ponda's scandal he should be hitted thoroughly.
 
so una uhakika kuwa Ponda kapigwa kwa sababu ya Urundi wake??na je ulipata kusikia alichokisema pale Morogoro?lakini Ponda huyu si anaishi DAR na Polisi inafahamu hadi kwake sasa ya nini kutumia nguvu nyingi kiasi hicho kumkamata Ponda.Napenda jeshi la Polisi lifanye kazi yake lakini isiwe kwa shinikizo la mtu,kundi au hisia fulani
 
Sio watanzania wote ni wanafiki. Ni wachache, ambao wanachagua matukio. Polisi wakipiga waleta fujo wa CDU, wanalaani vikali, ila wakiwa WAISLAMU basi ni vizuri tu polisi wakipiga risasi! Huu ndio UNAFIKI mkubwa na hauwezi kuleta ukombozi wa nchi.! kupiga Risasi raia sio kitu cha kutetea, bila kujali aliyepigwa ni Daudi Mwangosi au Issa Ponda!

huyu ponda angetakiwa apondwe kichwa chake as hana tofaut na nyoka
 
Tusingojee kiongozi au viongozi wafe ndio tuwakosoe
IMG_20181014_093305.jpg
 
The problem is not us. We would like to criticize them but they do not buy that shit let alone tolerate it.

If you dare speak your mind, you'll end up disappearing; with the help of the anonymous.
 
Usiseme unafiki seme waoga na tuna ubinafsi tu.....tunaogapa impact ya kukosoa walio shika mtuti wa bunduki.......chochote kinawezekana kufanwya kwako ukawa mfano wakuingwa kwa wengine.....kama uamini piga simu ubiligiji ulizie bado ya hilo tukio, watu wanahama chama kuunga jihudi za mueshimiwa.......
 
Back
Top Bottom