Sisi ndio wanaume bwana!

Hivi huna habari kuna wanaume wasio na wakuwakatia kiu zao? Unaonaje bibi nae akatoa msaada?
Mwanaume rijali anamridhisha mwanamke wake physically na emotionally. Kama mwanamke wakpo anaridhika emotionally kwa kuchelewa kwako kurudi kila mara,its well and good. Msidanganyane hapa wengine wakaenda kuondolewa uanaume wao na wanawake zao!
Hahahaha......... kuna sababu nyingi bana...
Hawa mabinti wasio na wanaume zao nani atawakata kiu yao?
 
Sasa ODM,mmoja tu pasua kichwa wawili si ndo balaa!Mi sitaki wawili nataka mmoja tu tena awe hajui kusoma wala kuandika,sitaki awe anajua haya mambo ya globolaizesheni,ni tabu tupu!Yeye ni kupika na kuijali nyumba tu!
Ewaaa....... sasa kama we unataka moja, achia wanaume wenzako wawasaidie hawa wanawake ambao hawajamilikiwa.
 
Walahi Gaijin siku nikiambiwa mahari hiyo sijui milion 4 au 10,nitatoka nduki nitakapokanyaga jani halitaota mpaka Yesu arudi!
 
Haya Babu ujumbe umefika
Bia kadhaa zinakuhusu leo
Ningekuwa karibu leo ungekaa kaunta ya juu na unywe unachopenda
 
Hivi huna habari kuna wanaume wasio na wakuwakatia kiu zao? Unaonaje bibi nae akatoa msaada?
Mwanaume rijali anamridhisha mwanamke wake physically na emotionally. Kama mwanamke wakpo anaridhika emotionally kwa kuchelewa kwako kurudi kila mara,its well and good. Msidanganyane hapa wengine wakaenda kuondolewa uanaume wao na wanawake zao!
Na wanawake walivyokuwa wengi namna hii? Hao si wanaume bali magumegume.
 
hahaha Mwalimu
hivi ni vigezo gani wanatumia kuthaminisha mpaka inafika hapo kwenye M kumi?

Sio kuthaminishwa huyo mwanamme, ni kujithaminisha wewe muolewaji.

Vitu vingi vinazingatiwa.....ukoo (jina), elimu, kipato, muonekano, n.k :]

Kama mimi mwalimu wa chekechea, inakuwa milioni kumi kwa sababu nna ujuzi wa ziada nitaoutumia nyumbani :p
 
Walahi Gaijin siku nikiambiwa mahari hiyo sijui milion 4 au 10,nitatoka nduki nitakapokanyaga jani halitaota mpaka Yesu arudi!

Nenda ati......khasara yako! Kwani tulikwita? Si ulitaka kuoa mwenyewe .....unanchekesha!
 
Ni mimi na wewe!!
Word!

Haya Babu ujumbe umefika
Bia kadhaa zinakuhusu leo
Ningekuwa karibu leo ungekaa kaunta ya juu na unywe unachopenda
Aisee ntakutafuta bana........ mi nikiahidiwa ulabu laizma nifuatilie ahadi mpaka kieleweke

Kumbe Babu wanataka kumilikiwa nilikua sijajua!Khaaaa!
Ulikuwa hujui? Hawa ni mali zetu katupa Mungu.

Sio kuthaminishwa huyo mwanamme, ni kujithaminisha wewe muolewaji.

Vitu vingi vinazingatiwa.....ukoo (jina), elimu, kipato, muonekano, n.k :]

Kama mimi mwalimu wa chekechea, inakuwa milioni kumi kwa sababu nna ujuzi wa ziada nitaoutumia nyumbani :p
Khaaaa!
 
hehehehe haya bana, unatolewa M 10 akirudi usiku usiulize alikua wapi? lol, maana kakunua wewe! Gari haligomi kwa dereva.lol
 
Hivi huna habari kuna wanaume wasio na wakuwakatia kiu zao? Unaonaje bibi nae akatoa msaada?
Mwanaume rijali anamridhisha mwanamke wake physically na emotionally. Kama mwanamke wakpo anaridhika emotionally kwa kuchelewa kwako kurudi kila mara,its well and good. Msidanganyane hapa wengine wakaenda kuondolewa uanaume wao na wanawake zao!
Hahaha. Anawadanganya wenzie kwenye keyboard, kuna wanaume wake zao mabaunsa bana, achelewe aone cha moto, lol..
 
Back
Top Bottom