Siridhiki ila ninampenda

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
350
Wana ndg ningeomba ushaur wenu mana ninarafiki yangu anampenz wake wa kike. Nimejaribu kumshaur lakn nimeshndwa labda na nyny mnaweza kunisaidia ili nifikishe kwake ushaur huu. Rafiki yangu ana mpenz wake lakn huyo mpenz wake alimueleza waz jamaa kuwa anampenda sana jamaa ila inapofika katka tendo la ndoa msichana anasema haridhiki na wala hasikii raha. Ila anampenda jamaa na mshkaj kasha2mia njia zote ila bado mpenz wake haridhiki je afanyeje? .Ninaomba 2mshaur na msichana ni mkwel anampenda sana jamaa mana jamaa alitaka kumuacha ila demu akataka kujiuwa je afanyeje? Ushauri wenu plz
 
wee vp bwana?
do u knw the term si ridhiki?
km ndiyo mbona umelitumia visivyo ili neno?

ANDIKA UPYA.
 
tukiweka matumizi mabaya ya maneno yako......mi sioni issue....ambaye HALIZIKI ni demu, na kuachwa hataki....hakuna tatizo hapa...as long as kidume kina LIZIKA hakuna tatizo lolote. waendelee tu.
 
Kwa harakaharaka tu nilivosoma hii post yako nimegundua ushauri huu ni kwa ajili yako na wala si rafiki yako!!! Pili mkuu hawa mademu wa siku hizi noma, kama ushajaribu kila kitu unachokijua lakini haridhiki, basi kuna kitu ambacho wewe hukijui ukikifanya yeye ndio ataridhika!!! Nakushauri umuache mapema kabla hajakwambia anachokitaka ili aridhike.... na itakuwa ni mapenzi ya kinyume na maumbile tu.... Pole sana mkuu!!!:twitch:
 
Duh!!!!!!!!! unamaana ya kuwa huyo demu ana................, no ngoja kwanza, inawezekana akawa........... ahgrrrrrrr.
Nimekosea njia kuja jukwaa hili ngoje ninde la siasa
 
Acheni mbwembwe toeni ushauri, kiswahili kigumu bana nani asiyejua hilo????. Hata hivyo kajitahidi sn maana si lugha yake ya kwanza hiyo
 
dah! Ma pipo hii ninaona ni noma okay lakn ninashukuru mnaelewa nini ninachokizungumzia ila kwasababu uonekane umeandika lazima unipige dongo ila co ishu ngoja nirekebishe
 
Msichana anaweza kuwa na matatizo ya kisaikologia yanayomfanya asiridhike, tafuteni mshauri wa masuala ya kujamiiyana na uzazi anaweza kumsaidia. Pi umesema mwanume amefanya jitihada zote, sina uhakikika ni jitihada gani amefanya inawezekana yeye mwanaume hajui jinsi ya kumwandaa huyo msichana ili awetayari kufanya hilo tendo. Lakini la muhimu wantafute mshauri atawasaidiwa baada ya kuwasilikiliza kila mmoja. Washauri wanapatikani kwenye mahosipitali, UMATI, AMREF na maeneo mengine yanayofanana na hayo.
 
hlo nalo neno m2 wangu vumbi yan umeongea ukwel ila pia nalo hlo nimemshaur na walipo kwenda ameambiwa hana tatzo
 
Wana ndg ningeomba ushaur wenu mana ninarafiki yangu anampenz wake wa kike. Nimejaribu kumshaur lakn nimeshndwa labda na nyny mnaweza kunisaidia ili nifikishe kwake ushaur huu. Rafiki yangu ana mpenz wake lakn huyo mpenz wake alimueleza waz jamaa kuwa anampenda sana jamaa ila inapofika katka tendo la ndoa msichana anasema haridhiki na wala hasikii raha. Ila anampenda jamaa na mshkaj kasha2mia njia zote ila bado mpenz wake haridhiki je afanyeje? .Ninaomba 2mshaur na msichana ni mkwel anampenda sana jamaa mana jamaa alitaka kumuacha ila demu akataka kujiuwa je afanyeje? Ushauri wenu plz

mpe pole huyo asiyefikishwa, labda ameseti very high performance indicators
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom