Siri

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
381482_191046410979595_1633661520_n.jpg
 
Kweli ni siri kuu,
Nilidhani ni ubabe ubabe always kumbe hapana hata meza moja twaweza kuketi LOL
 
Kweli ni siri kuu,
Nilidhani ni ubabe ubabe always kumbe hapana hata meza moja twaweza kuketi LOL



Of course ni siri mkuu Futota ukitazama hapo ni mawaziri wakuu wastaafu walioondoka ofisini bila kashfa nikimaanisha waadilifu(naomba kurekebishwa kwa hilo) na Rais aliyedhulumiwa haki yake(lakini bado ni mtarajiwa)wakipanga mikakati..
 
Last edited by a moderator:
Haki ni maji mengi sana, hata kama utajaribu kuyazuia itafika wakati yatakugharikisha, wacha wafanye lkn one day watajua kuwa hata Isabella alichomwa na moto ingawa alidhani makaburu watamlinda siku zote, waliohusika kumtesa ulimboka, wasidhani kuwa wako salama, kwani kizazi huja kizazi hupita watashangaa wanapata kipigo hapa TZ wakiona kwa macho,
heri wakitubu kabla ya hayo hayajawatokea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom