Siri za ndani...

hapo patamu wanaa! duh! mademu kwa kuanika bwabwa kwa walaji ni noma cjui huwa wanataka ninii,na hii ndo hupelekea wao kukatwa sana na machizi, weaknes za mume unaztupa kwa madowezi unategemea nini ni lazma watakula kolikoli hadi wampate ili nao wakatangaze aah! mume wa vella! mbna harukii! upande wa walume hyo siyo sana kumsema mwenza na hii ni kuficha ili vidume vngine visije faida dikodiko zako, japo men hujsifu walapo MTANDAO kwa vimada.

ehe hebu come again? Asa hapo haogopi kupindiliwa? Duh kumbe kuwa kimada noma mazee
 
hata wanaume husimuliana ila tuna mipaka. Sio siri za waif bali za wakata kiu tu.
 
Si wanawake wote wanaopenda kuzungumzia siri za ndani wakiwa salon au ofisini. Hii inategemea mwanamke huyo kapata malezi ya jinsi gani, na heshima aliyo nayo kwa mpenzi/mume. Kama mtu unamuheshimu mpenzi/mume na umelelewa ktk maadili mazuri si rahisi kutoa siri za chumbani kwenu.
 
Hii ni kwa wanawake tu.
Ukiona mwanaume anaongelea ujue ni kimada chake amekula mzigo kwa hiyo anawasimulia jamaa zake lakini wife never.
Si kwa wanawake tu,HATA WANAUME.
Kwa wanaume ni ule WAKATI WA MIGOGORO YA KINDOA, hili suala huzungumzwa sana.Hususani zama hizi za KUPOTEA KWA UAMINIFU ndani ya ndoa,linalopeleka watu kunyimana unyumba kwa sababu zisizo za msingi au mwanaume kujua kuwa mkewe si mwaminifu.

Hivyo tusifiche vichwa vyetu ardhini, tukijidanganya na kudanganya wengine kuwa WANAUME HAWAJADILI.
 
Mara nyingi wanaume huwa hawaogopi kupinduliwa kimada, ishu kupinduliwa mke!!
Si kweli.
KIMADA ANAONEWA WIVU KWA KIWANGO KILE KILE CHA MKE.
Na moja ya sababu ni kwamba WATU WANATUNZA VIMADA KWA GHARAMA KUBWA KULIKO WAKE ZAO.
Mtu anaweza kuwa alipita mahala ,akisikia na wewe umepita pale Ehh... MKULU UNAWEZA KUPIGWA TRANSFER HARAKA na manyanyaso mengi tu ikiwa pamoja na KUCHAFULIWA FAILI.

Wacha wewe kimada ni HATARI,watu WAMEFUNGWA JELA......NA WENGINE KESI ZINAUNGURUMA.......
 
Ni kweli Nyani nakubaliana nawe kwa sababu hata mie katika pitapita yangu sijaona mwanaume mwenye tabia hiyo isipokuwa kwenye filamu kama ya Tyler Perry Why did I get married

Hapana pia wanaume wapo, mimi namjua mwanume wa anamtangaz sana mchumba wake kuwa anajua mapenzi, huyo msichana anasumbuliwa analalamika , shemeji zake wanamtokea, wanamwambia jmaa yako anatuhadithia unajua sana mapenzi.
 
Kuna ka dada bwana kazini ka geni kameingia mtu mmoja akaingia akapata....kutoka kasema jamani....huyu mtoto ni balaa anafanya utafikiri kesho haipo...

Kosa kubwa sana kuwaambia fisi wengine namna hiyo sasa jamaa wakati anasema alifirini kapata bahati kumbe sasa ndio fungulia uwanja watu wakaanza kuacha mishahara hapo kumpa...kila ane enda anapata dozi kali....kamewapanga sasa wamefika watano hakuna anaye taka kuacha....imebidi wakubaliane kwa wiki wawili wawili bila dada kujua..kwa shughuli wanayo pata...ila watoto wambamba jamani ni balaa....mikunjo yote pindo zote wamo......
 
Mambo ya ndani ni aibu kuyasema. Halafu ukitaka kumjua mwanamke mchongimchongi mbona easy!!!! Utaona tu katika relation, anakuletealetea umbeya wa huko saloon na kwingineko. We muulize tu, unayajuaje haya kama wewe huchangiii??? Asilimia ya wengi wa akina mama huwa si wasiri kwa mambo mengi, labda siri yake kubwa ni kama anamegwa nje hivyo hatasubutu kusema, naamini.

Mimi bwana siri yangu ni yangu hata kwa mke si rahisi aipate hii unless siri hiyo kama itakuwa na mafanikio kwake, halafu siwezi eleza njemba mambo yangu ya ndani na mke wangu wala kimada kama angekuwepo.

Ila nimeona wanaume wengi huwa tunafanya makosa sana unapopata hawara wengine wanatafuta cheap way ya kueleza udhaifu wa mke wake ila hawara amkubali
. Hii ni mbaya sana. Ukipata farasi lako, panda na mchezo unakwisha, hakuna fungua mdomo wa mambo yako ya private man.


majuzi tulikuwa kwenye kikao cha usuluhishi wa ndoa tuliyoisimamia, mwanaume amemwambia hawara mambo yote kuhusu mke wake na akamuomba amzalie mtoto wa akiba, wana mtoto 1 wa mwaka sasa mwanaume anataka wa nje tofauti na mkewe, mimba ya hawara ikaharibika ndipo hapo mambo yakachuja mpaka nyumbani, hawara kuanza kumcal mke na kumtuc mchawi ndo kamsababishia mimba yake imetoka na hivi na vle, mume kuja kuhojiwa na mke akakubali ni kweli amecheza rafu mgogoro ukawa mgogoro mpaka tukaitwa tusuluhishe...waume zetu jamani tabia kaam hizi sio nzuri kabisa....
 
Duh kumbe hata makazini ipo!! This is serious mimi nilikuwa najua masalunini tu maana kuna siku nilicheka hadi leo nacheka ninikubuka. Mama mmoja alikuwa anasimulia vituko vya mumewe kuwa ni mlafi yaani akipita binti mweupe hata kama hana shepu(akawa anatolea mfano kwangu!! duh) mumewe macho yanamtoka kama kamezwa na chatu. Baada ya kumkandia hapo akajishuku mwenyewe ati lakini simlaumu sana maana kwa level na speed yake mie simwezi kila siku ananiacha hoi hata anapomaliza mimi huwa sijitambi !!

Nilichoka!!
Mwanajamiione una kigezo kimoja......umeshapata PM yangu?
 
kuna mdada alikuwa intern kwa ofc, aliolewa mwezi wa 10 last yr, yaani alikuwa akiingia tu ofcn unaboreka esp mie, mana atakuambia yaani jana mr kashindwa kabisa kuduu anasema amechoka nina wac anatembea nje, yaani jana mr kafanya hk au kle, cku moja nikamwita kando, nikamuuliza hivi unamfaidisha nani na story za mpaka kitandani kwako?...nilimuhoji sana na kumpa ushauri juu ya maongezi yake kiujumla, matokeo yake alienda pembeni kudai mie namonea wivu na maisha yake ya ndoa....holalaa nilishikwa na butwaaa....hajutakaa sawa intern mwenzake akamchukulia mume....alirudi analiaaaaa kama kafiwa.....
 
Yeah,

haka ka ugonjwa ka kusimulia pornography zao za ndani ni kweli wanako sana wanawake. It is SAD lakini ni ukweli wenyewe. Kuna wanaume wapo. Ila ni extremely minority. Wanawake karibu wote (wapo ambao hawasemi yote).

Kuna mdada mmoja alikuwa kila akifika ofisini akikaa tu na mashosti la kwanza ni stori, leo kanichana manake nilikuwa sijisikii ila kang'ang'aniza tu. Siku nyingine leo kanifanya T.... nikanya!! I mean it was SAD. Yaani wengine huenda to the remote extreme.

Kusema kweli ndo maana mwanaume akitembea nje rahisi kujulikana. Kinachotokea, yule dada husimulia mashoga zake. Stori huhama na siku si nyingi imeshajulikana. Ikijulikana kwa mke, basi ndugu zake wote wameshajua! Aaa unajua mme wangu malaya sana, katembea sijui na kimwanamke gani, etc.....

Kwa wanaume, kwanza ni kero. Ukishamsikia mtu anasimulia anachofanya na mpenzi wake, si wanaume wengi tunapenda kusikiliza stori kama hizo. Kwa hiyo hata wale wenye tabia hizo mara nyingi husimulia kwa wanawake kwani wanaume wengi hawana interrest.

ni tabia Chafu haswaa ... mi husikia kinyaa.
 
wanaumme ni nadra sana. mimi binafsi sikumbuki kama nilshasimulia. hata kama mtu nansimilia kwa kweli nakereka. kila mtu ameze lake
 
hiyo kweli.na ukiona mume anasema pale amemega chunguza sana wengine husema tu ili wavunje wenzao moyo na kumbe amenawa na hakula chochote.
 
huu.. Na mara nyingi sana wanawake huwa wanapenda sana haya mambo. Na mara nyingi ukiona mwanamke kaweka siri kuwa Mumewe yuko vipi ujue kuwa kweli anampenda kwa dhati na hataki Mwanamke mwingine ajue vile yu mtamu.

Nilishawahi kupata story Moja kuwa kulikuwa na Jamaa mmoja alikuwa na Jogoo mkubwa sana. Sasa hiyo alitoa mmoja kati ya mwanawake aliyewahi kuwa naye yule jamaa. Baada ya kutoa hiyo siri eti wale wa mama katika ile kambi wakawa wanataka kujaribu mbona mamoja alilazwa Hospitali Hoi...

Hii ni ile kutoa siri za ndani,
Siri ya ndani iwe kama vile mtu anamungamia Mungu wake...
 
haaa mbona hukuni sms swity kuniambia nichungulile humu?Lol...

hehehe upo swity?
Noana huyo dada wa intrn ofc kwenu baada ya dada mwingine kwenda kumpelekea mmewe ikawaje ulimwambiaje? Duh nae alienda kutest zali hahahaha
 
Back
Top Bottom