Siri za Lowassa zavuja Dodoma na Arusha

Lowasa hajitambui amepoteza havuki tofauti na jinsi anavyodhani atapata aibu sana mwaka ujao.
 
Membe hauchoki kumwandama Lowasa ? Sasa angalia Vijana wako wanakuja na Hoja zisizo na Mashiko , hampati Usingizi juu ya Lowasa mpo busy kwa saa 24 mkitunga Uongo,Uzushi na Uchonganishi huku membe mwenyewe akiwasaka wanasiasa njaa na kuwagawia Pesa zile za Gadafi alizokwapua kisha anawashika Akili na kuwachochea ili wamwandame Lowasa, kwa bahati nzuri Wananchi wa sasa si wajinga wanajua Mchezo wote wa Membe na kamwe hatafanikiwa hata amchafue vipi Lowasa bado membe hapandi chati licha ya kikundi chake kumlia pesa na kumpa Matumaini feki.

napata shida sana kila kukicha Lowasa Lowasa, naanza kuamini kwamba Lowasa ni MWIBA MKALI SANA katika orodha ya wanaotaka URAIS kupitia ccm, tunajisumbua bule tu ninacho amini KAMA MUNGU AMEMCHAGUA LOWASA KUWA RAIS HATAIWEJE HAKUNA ANAYEWEZA KUPIGA NA KAMA HAYUMO KWENYE ORODHA YA MUNGU KUWA RAIS HATA KUJAKUWA RAIS KAMWE. Ninacho kipenda na kujifunza kwa Mh Lowasa ni UTULIVU alionao, si kila jambo unalosemwa na watu lazima ujibu, huyu jamaa kwakweli ana BUSARA ya hali ya juu sana. Ndugu yangu Mh Sita ameshindwa kabisa kuwa mvumilivu kwa yale anayosemwa na kushutumiwa wakati amewai kuwaambia mawaziri wawe na ngozi ngumu kustahimili maneno ya wabunge wenzao.
 
Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe.Lowassa ndiye rais wa Tz 2015,kama hamwamini muulizeni cpt Komba na mwenyekiti wa ccm Shinyanga.
 
Pamoja na hayo kundi hili wamelenga kuwaaminisha Wananchi kuwa Lowassa hukutana na Mhe. Rais mara nyingi ili amuachie urais.

.

Kwani mwakani hakuna uchaguzi...??? Kwani CCM hawana uchaguzi wa ndani ya chama ili kuchagua mwakilishi wao katika uchaguzi Mkuu hadi ifikie hatua ya EL kumwomba JK amwachie Uraisi...???
 
Ndg Edward Lowasa mwenye kutamani urais kila uchao amezidi kukumbwa na jinamizi linalovujisha siri zake kila uchao.

Jana kuna vikao vimefanyika Dodoma na Arusha vikao vyote vimeazimia kumhusisha Lowasa na Rais kikwete kwamba hawakukutana barabarani.
Maazimio yalikuwa kuwa
Itengenezwe kauli mbiu mpya ya " simama uhesabiwe,hakatwi mtu hapa"

Kauli hiyo kwenye kikao ametolewa na Lowasa mwenyewe.
Hayo pia yamefanyika Arusha Hotel ya Mountain Meru.

Pamoja na hayo kundi hili wamelenga kuwaaminisha Wananchi kuwa Lowassa hukutana na Mhe. Rais mara nyingi ili amuachie urais.

Kila kukicha kabla ya siri za Lowasa hazijamaliza masaa 3 zijavuja.

Kwa tafsiri nyingine kila baada ya hayo masaa lazima usikie MKUNO wa huyu jamaa!

Wapi huwa panawashaa?
 
Ndg Edward Lowasa mwenye kutamani urais kila uchao amezidi kukumbwa na jinamizi linalovujisha siri zake kila uchao.

Jana kuna vikao vimefanyika Dodoma na Arusha vikao vyote vimeazimia kumhusisha Lowasa na Rais kikwete kwamba hawakukutana barabarani.
Maazimio yalikuwa kuwa
Itengenezwe kauli mbiu mpya ya " simama uhesabiwe,hakatwi mtu hapa"

Kauli hiyo kwenye kikao ametolewa na Lowasa mwenyewe.
Hayo pia yamefanyika Arusha Hotel ya Mountain Meru.

Pamoja na hayo kundi hili wamelenga kuwaaminisha Wananchi kuwa Lowassa hukutana na Mhe. Rais mara nyingi ili amuachie urais.

Kila kukicha kabla ya siri za Lowasa hazijamaliza masaa 3 zijavuja.

hauna ratiba ya huyu kiongozi iweje leo utupe maandiko yanayo elezea vikao vyake je wewe ni PS WAKE.....uSITUMIKE KIASI CHA KUSHUSHA HATA THAMANI YAKO....
 
TAZAMA HII VIDEO KUANZIA DAKIKA YA 36

Last edited by a moderator:
Endeleeni kumuhubiri ili mumpandishe juu. EL ni kiongozi (achilia mbali makashfa nisiyoweza kuyathibitisha) kwa maamuzi na ana kauli ya kiuongozi. Hao wengine WOTE MALI GA NYANGI
 
Ndg Edward Lowasa mwenye kutamani urais kila uchao amezidi kukumbwa na jinamizi linalovujisha siri zake kila uchao.

Jana kuna vikao vimefanyika Dodoma na Arusha vikao vyote vimeazimia kumhusisha Lowasa na Rais kikwete kwamba hawakukutana barabarani.
Maazimio yalikuwa kuwa
Itengenezwe kauli mbiu mpya ya " simama uhesabiwe,hakatwi mtu hapa"

Kauli hiyo kwenye kikao ametolewa na Lowasa mwenyewe.
Hayo pia yamefanyika Arusha Hotel ya Mountain Meru.

Pamoja na hayo kundi hili wamelenga kuwaaminisha Wananchi kuwa Lowassa hukutana na Mhe. Rais mara nyingi ili amuachie urais.

Kila kukicha kabla ya siri za Lowasa hazijamaliza masaa 3 zijavuja.
lowassa na mbio zakela uraisi
 
Kwa nini Apson alimfukuzisha kazi Membe Usalama wa Taifa?
 
Baba wa Taifa alimuachia LAANA huyu ndugu yenu(LOWASA). Na Nyerere angekuwapo,angeshamchapa bakora mda mrefu kwa pesa nyingi anazohonga ovyoovyo.

Kama huamini,wewe muulize swali moja tu, AKIWA RAIS ,ATAWASHUGHULIKIAJE MAFISADI???

Hapo lazima atakutafutia AL SHABAAB tu!!!
 
Back
Top Bottom