Buldoza
JF-Expert Member
- May 2, 2013
- 2,306
- 980
Ndio maana tunatakiwa tuwe wazalendo.. Mafisadi yanatumia kila mbinu kutimiza lengo lao ikiwamo kutoa roho za watu ili malengo yao yatimie.. Ajali ya Mwakyembe si ya bahati mbaya ilipangwa lakini Mungu akamnusuru.... Leo tunaonea huruma U.F.I.S.A.D.I.. Give me a break!
Mtaibua mpaka habari za uzushi zilizopitwa na wakati, BVR fake ndio hivyo tena zinabuma. Kila tawi mnaloshika linateleza. Sasa ni kwamba ccm mwaka huu lazima.mtembelee tumbo. Mark my words.
HATUDANGANYIKI!