Siri ya Magufuli kuogopa kuigusa IPTL ambayo inalipwa milioni 400 kwa siku na TANESCO

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
IPTL.jpg

IPTL wana mkataba wa miaka zaidi ya 20 na Serikali ambapo imekuwa ikilipwa milioni 400 kwa siku

Lakini cha ajabu Ndugu Magufuli kakaa kimya. yeye kila siku anaonea vidagaa maana yake ninii?
wana JF naomba mfungue WIKIPEDIA PAGE ya kuelezea hii scandal ya IPTL kwa dunia

sielewi kwa nini huyu Rais amekuwa mwoga kiasi hiki na hataki kabisaa kugusa hizi scandal kubwa kubwa za kutisha

UPDATES....

Kweli MAGU is on a different league na kwenye hili Mkapa na JK hawachomoki

DCsEzfrXcAAGNiO.jpg:large
 
IPTL.jpg

IPTL wana mkataba wa miaka zaidi ya 20 na Serikali ambapo imekuwa ikilipwa milioni 400 kwa siku

Lakini cha ajabu Ndugu Magufuli kakaa kimya. yeye kila siku anaonea vidagaa maana yake ninii?

wana JF naomba mfungue WIKIPEDIA PAGE ya kuelezea hii scandal ya IPTL kwa dunia

sielewi kwa nini huyu Rais amekuwa mwoga kiasi hiki na hataki kabisaa kugusa hizi scandal kubwa kubwa za kutisha
Zinamgusa moja kwa moja mwenyekiti mstaafu aliyemkabidhi madaraka juzi
 
"Wastaafu wangu, nitawalinda kwa nguvu zangu zote. Msiwe na hofu laleni usingizi mzito. Wadharauni wanaowasema vibaya kwani tumewazoea". Kwa kauli hii mnategemea mikataba ya aina ya IPTL itaguswa? Hapa ni mazingaombwe tu na mkizidi kujiuliza mtaishia kuambiwa ni miradi inayohusu ulinzi na usalama wa nchi kama ile ya meremeta na tangold. Mpoooo!!!!!
 
IPTL.jpg

IPTL wana mkataba wa miaka zaidi ya 20 na Serikali ambapo imekuwa ikilipwa milioni 400 kwa siku

Lakini cha ajabu Ndugu Magufuli kakaa kimya. yeye kila siku anaonea vidagaa maana yake ninii?

wana JF naomba mfungue WIKIPEDIA PAGE ya kuelezea hii scandal ya IPTL kwa dunia

sielewi kwa nini huyu Rais amekuwa mwoga kiasi hiki na hataki kabisaa kugusa hizi scandal kubwa kubwa za kutisha
Nmeshindwaa kueleza hizo sahihi huko chini zinamaanisha akina nan?
 
"Wastaafu wangu, nitawalinda kwa nguvu zangu zote. Msiwe na hofu laleni usingizi mzito. Wadharauni wanaowasema vibaya kwani tumewazoea". Kwa kauli hii mnategemea mikataba ya aina ya IPTL itaguswa? Hapa ni mazingaombwe tu na mkizidi kujiuliza mtaishia kuambiwa ni miradi inayohusu ulinzi na usalama wa nchi kama ile ya meremeta na tangold. Mpoooo!!!!!
anayelinda mwizi nae mwizi tu....viongozi wote waliokuwepo tangu kipindi cha mkapa wote wezi
 
Back
Top Bottom