SIRI ya kutekwa Kibanda, video ya Lwakatare zazidi kufichuliwa

Status
Not open for further replies.

miramabula

New Member
Mar 16, 2013
1
30
Hatimeye siri ya kutekwa, kuteswa na kunyofolewa kuchwa kwa Mhariri Mtendaji wa magazeti ya New Habari, Absolom KIbanda na unaoitwa mkanda wa video wa Willifred Lwakatare, imefichuka rasmi.

Kwamba mchezo mzima umefanywa na Idara ya Usalama wa Taifa na ofisi binafsi ya Rais (ORB).

Vyanzo vya taarifa kutoka ndani ya TISS vinathibitisha kwa asilimia 100 kuwa mkanda wa video wa Lwakatare na kutekwa kwa Kibanda kumefanywa na watu wa ndani ya idara hiyo.

Angalia haya mawasiliano ya wana Ofisi Binafsi ya Rais; pamoja na comment inayotolewa na Michuzi. Hapa unapata uthibitisho wa nani alitengeneza hii video.

Michuzi anaipongeza idara ya usalama kwa kuleta hii kitu. Anathibitisha kwamba ni kazi ya mikono ya usalama. Anawahamasisha wenzake wawakamate CDM kwa sababu ya video hii na kwamba hii ni kete kubwa CCM.

Maneno ya Michuzi yanayoonyesha kwamba Usalama ndio umeleta hii video, yanathibitisha kwamba usalama ndiyo waliomtesa Kibanda ili watumie kigezo cha kumkamata Lwakatare. Hapa ndipo tunapopaswa kutilia mashaka uchunguzi wa vyombo vya dola vya ndani.

Habari zinasema kuna mkakati mkubwa unasukwa wa kutengeneza video nyingi kwa watu mbalimbali kuwahusisha na ufadhiri wa vitendo vya uharamia huu unaofanywa nchini. Mtu wangu wa karibu ameniambia kuwa wanampango wa kumtengenezea video kama hiyo, Mengi, Lowassa na Freeman Mbowe ili kuwanyamazisha.

Mengi, Lowassa na Mbowe wao watatengenezewa zengwe kwamba ndiyo wafadhili wa hili genge. Nao ama watakamatwa au watakuwa blackmailed.

Haya hapa mawasiliano ya siri ya IKULU

attachment.php
 

Attachments

  • michuziii.jpg
    michuziii.jpg
    72.4 KB · Views: 2,614
Haya makubwa, Hii nchi tatizo ni Upore wetu, Wananchi wangekuwa na msimamo kusingekuwa na ujinga kama huu, make wanafanya haya ili waendelee kutafuta nchi, Ila mimi 2015 kama ni kazi nisha tangaza ni taacha ilimuradi niwe frontline ya ukombozi,
 
Kama vile una neno la maana ila halijakaa vizuri sana Mpwa maana pia naona kama vile ndio umejiunga leo hapa jukwaani, ok ok taarifa ni nzuri na inaonekana ina hints, subiri jioni niende kijiwe changu cha Gahawa pale Kwa mfuga Mbwa nikawape story, gud job
 
Kwa kweli sisi wananchi tunapaswa kufika mahala tuseme inatosha,watawala wanatuchezea kama wanavyopenda.tatizo nani aanze wengine tufuate.
 
Daaa!! Hii sasa kali. Mie nafikiri hawa TISS hawafai tena kuwa usalama wa taifa, they deserve to be called usalama ccm.
 
hiyo ndo unaita taarifa ya siri toka usalaama?DO YOU THINK WE ARE FOOL EEEH?
 
chadema imeumbuka kwa uchafu mkubwa unaofanywa gizani na viongozi wake waandamizi,,,ni aibu kubwa sana
 
Haya yetu macho, JK umepoteza uhalali wa kutawala kabisa your now a puppet ya mafisadi wa CCM
 
halafu kunawapuuuzi wanashabikia haya mambo kwa sababu maisha yao wenyewe ni magumashi.yaani hii nchi inamambo ya ajabu kuliko unavyofikiri.yote hii ni kuwapa madaraka watu wasiona na chembe ya uadilifu.
 
TANZANIAN'S MOST POWERFUL AND INFLUENTIAL PEOPLE: JANUARY MAKAMBA ...

duniayetukubwa.blogspot.com/2011/05/​january-makamba-former...
5/8/2011 · ... (Mrs. Aziza Bukuku) to call me "Boss" (as is supposedly customary) as I thought it sounded awkward and demeaning to her. She insisted, ...

TANZANIAN'S MOST POWERFUL AND INFLUENTIAL PEOPLE: JANUARY MAKAMBA ...

duniayetukubwa.blogspot.com/2011/05/​january-makamba-former...
5/8/2011 · ... (Mrs. Aziza Bukuku) to call me "Boss" (as is supposedly customary) as I thought it sounded awkward and demeaning to her. She insisted, ...




Jamani hao wawili wako kwenye hiyo mail vipi kuna connection??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom