Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 864
Wakuu! I hope ur all fine.
Wengi wetu tumekuwa tukiamini kwamba ili mtu ashinde Ubunge au Udiwani basi ni lazima awe na alots of money na hii imepelekea watu wengi hasa vijana na wale wenye kipato kidogo kuogopa kugombea. Hali hii imesababisha wafanyabiashara wakubwa hapa nchi kujikita kwenye siasa kwa kuwa wanauwezo kifedha hata kama hawana good will kwenye game hili. Lakini mtaalam Tip ONeil- the former Spika wa Marekani anatuambia kwamba fedha sio kigezo cha kwanza cha kushinda Ubunge ama Udiwani au post yeyote ya kisiasa ,yeye anachambua kwamba fedha ni kigezo cha mwisho na sio cha kwanza kama wengi wa Watanzania na nchi nyingine za Afrika tunavyoamini. Hivi ndivyo anavyoeleza
First and fore most ni
Personality ..anachambua kwamba ni lazima mgombea uwe na personality nzuri kwa wapiga kura wako .ni lazima uuzike,ni lazima uwe na mahusiano mazuri na wapiga kura wako .
Agenda ..Mtaalamu huyu anaamini kwamba agenda ndio kigezo cha pili cha kukufanya ushinde .ni lazima uwe na agenda ambayo inakubalika kwenye eneo husika unalogombea .ukiwa na hii ur likely to win the Election .You must have a specific agenda.
Organisation ..You must be very well organize so that you can organize ur activities smartly ..Kama utakuwa smart basi ur in a safe side to win
Resources .Hili suala la resources ni la mwisho kabisa lakini ni muhimu kwani suala la fedha halikwepeki kwani unahitaji fedha so that to meet all necessary requirements and activities before and during campaigns.
Haya ndugu zangu, tukiyazingatia haya Ubunge ni wako,Udiwani ni wako..kazi kwenu.