The Don
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,499
- 1,163
SIRI KIJASUSI ILIYOFICHIKA NYUMA YA SUMAYE NA LOWASA KURUDI TENA CCM
Na: Shujaa Charles Richard Mwaisemba (CRM)
Watu wengi kwa kutokuelewa kilichopo nyuma haya hayo yote wanaweza kutoa sababu zao ambazo kwa juu juu zinaakisi ukweli kutokana na hali ya nchi inavyoendeshwa sasa kutokana na utawala wa ccm ya Magufuli
Watu wengi ukiwauliza watakwambia Lowasa na Sumaye wametoka kutokana na uchu wa madaraka baada ya kukosa walichokuwa wakitaka ikiwa ni nafasi ya urais kwa Lowasa na nafasi uongozi kwa sumaye Wengine watasema ni wanafki na wengi watasema wamekwepa mateso na manyanyaso waliyokuwa wanayapata kwa kuwa upinzani ikiwa pamoja na kufilisiwa mali zao na kutishiwa kuuwawa kwa kuwepo upinzani yaani CHADEMA
Lakini leo nataka niwaambie hayo yote hakuna hata moja lililo na ukweli ndani yake, ni sababu za kujihami tu zinazotolewa ili kulinda chama.Ila mpango wa Lowasa na Sumaye Kujitoa CCM na Kuonekana Kujiunga na CHADEMA na , pia hao hao kurudi tena CCM ni mpango uliopangwa kamili tangu Mwanzo na KAMATI MAALUM YA KIJASUSI (KIINTELIGENSIA) Ndani ya CCM au Serikali ya Tz
Wengi wasioyajua haya wanaweza kupinga kishabiki kama ambavyo wangeweza kupinga ikiwa tungewaeleza mapema juu ya mpango huu Ulioratibiwa na watu wachache sana ndani CCM ambao hata CCM wengi hawalijui hilo kwani ilikuwa ni mkakati wa kiinteligensia na kiusalama zaidi ili kuepusha jahazi la CCM ambalo lilikuwa linaenda kufa mikononi mwa Rais J Kikwete
Kutokana na vuguvugu kubwa walilokuwa nao wananchi wa Tz la kutaka mabadiliko kupitia UKAWA katika Mwaka 2015 ambalo lilionyesha dalili ya kuwepo kwa uwezekano wa CCM kutolewa madarakani ikiwa hakutakuwa haitakuwa na tahadhari ndipo wakubwa wachache walipouandaa mpango huu wa kiusalama
Kama nilivyotangulia kusema mpango huu ulifanywa na kujulikana na wakubwa wachache sana ndani ya CCM na Majususi wa mambo ya kisiasa, Ndipo walipopanga kuwatoa sadaka Waliokuwa Mawaziri Wakuu wakubwa wawili yaani Lowasa na Sumaye ambaye mmoja wao(Lowasa) alikuwa na mvuto mkubwa sana wa kisiasa na mtaji wa watu wengi
Mpango wa kumtoa Lowasa ulipangwa mapema kabisa ndio maana Uliaanza kuona LOWASA AMEKATWA KTK WAGOMBEA URAIS WA 2015 . Lakini huo ulikuwa ni mpango kamili uliokuwa ukilenga kuwavuta Wapinzani Kufurahia anguko hilo la lowasa kukatwa kwa faida yao
Mpango huo ulikuwa kuwa Kwanza Kumtafuta Mgombea na mwanasiasa ambaye alikuwa na ana mvuto mkubwa kwa CCM na Upinzani ambaye Ikiwa wangemkataa huyo basi Upinzani wangetamani kumchukua na kumtumia kama mtaji wao ili Kupitia huyo ndio ingewaaminisha wananchi na upinzani Kuwa CCM inaenda kugawanyika kwa kuondokewa na Wakubwa wa chama wa muda mrefu
Mpango huu ulilenga Ikiwa Lowasa angetoka na kuhamia upinzani na kupewa dhamana ya urais , hata kama ingetokea ashinde bado ilikuwa wamekubaliana Nae kuisaliti upinzani kwa kuirudisha serikali mikononi mwa CCM.
Lakini hasaa ilikuwa ni mpango wa kupunguza nguvu za Upinzani kwani Kupitia hao ndio walikuwa Chachu ya kuiua upinzani kwani ndio waliokuwa wanavujisha siri za wapinzani.Kumbuka Lowasa na Sumaye mara baada ya Kujionyesha kuhama CCM waliaminiwa na CHADEMA hata kupewa uwakilishi kwenye Mabaraza makubwa ya maamuzi ya Chama.Hiyo ndio Ulikuwa Mpango wao kuwaingiza Sumaye na Lowasa huko ili kutaka kutafuta kuidhohofisha Nguvu ya upinzani na kutaka kujua ikiwa Upinzani walikuwa wapewa nguvu na mataifa ya nje au la?
Ndio maana mara baada ya Lowasa kuhama CCM na baadae Sumaye Alifuata , na kweli Upinzani wakaingia katika mtego ule ule kama ulivyopangwa na Kamati ya Kijasusi ya CCM.Viongozi hawa Lowasa na Sumaye waliletwa upinzani kwa makusudi ya kutaka kuwafanya wapenye na waaminiwe kabisa kupewa nafasi za juu zaidi ili kuiua kabisa Upinzani ndio maana Kwa muda mrefu wamekuwa na mawazo kinzani sana na yakuwavunja moyo viongozi wa juu wa upinzani ktk vikao vikubwa vya maamuzi
Kumbuka hata Plan ya Kumchagua Rais JPM kama mgombea kwa tiketi ya CCM watu wengi wa ndani ya CCM na nje Ya CCM waliishangaa kwani hakutegemewa wala hakupangwa hivyo tangu mwanzo bali ilikuwa ni Plan B ya watu wachache ndani ya CCM wenye nguvu ya maamuzi waliokuwa Kwenye Kamati hiyo ya Kijasusi(Inteligensia) Kwa lengo la kukisaidia chama kisife ndio wakatumia mpango huo wa kumuinua Mtu mwingine asiyedhaniwa wala kufikiriwa kabla na ndio nguvu zote za Chama hawakuwa na jinsi ilibidi waende nae tu kama Maamuzi ya watu hao wachache yalivyopangwa katika Kamati hiyo ya Kijasusi
Hivyo niseme tu, haina haja kuanza kuumiza kichwa sasa na kutoa sababu zisizo na ukweli juu ya Kurudi kwa Sumaye na Lowasa CCM, huu ulikuwa ni Mpango kamili na wameshakamilisha Kazi waliyotumwa hivyo sio ajabu wakirudi kwao walipokuwa CCM.
Tatizo kubwa la Wapinzani wa tanzania na ikiwa hawatajirekebisha bado wataendelea kuitwa wapinzani yaani hawatakuja kuwa watawala wa Nchi hii ni kwasababu Wanadhani Swala la kutawala nchi ni swala la tu la kuweza kuongea jukwaani na wananchi na kuwapa ahadi nzuri ndio maana nguvu kubwa wameielekeza katika KUTAFUTA UHURU WA MAONI. Hata ikitokea CCM imewapa Uhuru wa maoni bado mnaweza msishike dola na hata mkishika bado mnaweza msiongoze nchi vizuri
Huwezi kutamani Kutaka kushika nchi na kutawala kisiasa ikiwa HAUJUI KUFANYA UJASUSI WA KISIASA au Ikiwa hauna Majasusi ndani ya Chama chenu wanaoweza kuchunguza, kusambaza propaganda na hata Kutengeneza matukio yatakayoweza kuhamisha uelekeo wa Mshindani wako katika Siasa
Moja ya Trick ambayo CCM wamefanikiwa kuitawala nchi hii na kuwashinda Wapinzani sio kwasababu ya Nguvu kubwa tu wanayotumia CCM bali ni Kuwa Wapinzani hawana MAJASUSI NDANI YA CHAMA watakaoweza kufanya Ujasusi wa chini chini utakaoweza kuibua matatizo na kuyashuguulikia
Na Kwa hili Swala la Lowasa na Sumaye Kutumwa Upinzani na Kurudi tena CCM baada ya kumaliza kazi waliyotumwa ni moja ya Matukio ya kiinteligensia ya CCM waliyofanikiwa kuwaweza wapinzani wao ambalo lilipelekea wengi wanaofuata upepo wa wanasiasa kuchukuliwa na wimbi waliloliona kama ni wimbi la mapinduzi kumbe Ulikuwa ni mpango uliosukwa na watu wachache Akiwamo JK na Kamati hiyo ya Kijasusi.
Kwa kukosa umakini na tahadhari kwa Vyama vya upinzani na kwa kutokuwa na Kamati za Kijasusi ndani ya Chama ndio kimepelekea hata Upinzani kufifia nguvu yake kwa watu hasa tunapoelekea Uchaguzi mkuu 2020.
Hata kama Mikutano imezuiwa kinyume cha katiba, uhuru wa vyombo vya habari umeminywa,Uhuru wa maoni umeondolewa kinyume cha katiba bado Haimaanishi Akili hamna. Ushindi sio Vita ya maneno bali ni Vita ya Akili.
Ikiwa Chama cha Upinzani kimekosa Akili au Plan B ya kufanya hata kuwafanya wanachama wao nao kukosa direction ya kujua lipi la kufanya katika mazingira magumu haya wanayopitia basi Chama hicho kitakosa Akili ya kufanya hata pale watakapopewa nchi kutawala kwani kuna mashambulizi mengi na vita nyingi za kisiasa na kiuchumi za ndani na nje ya nchi ambazo zitahitaji akili nyinyi sio maneno mengi, ambazo ushindi wake utategemeana na Uwezo wa chama tawala katika njia za kijasusi
Kulikuwa na greedy of power ndani ma ccm yenyewe kwa yenyewe. Hakuna cha ujasusi wala mama yake uhasusiSIRI KIJASUSI ILIYOFICHIKA NYUMA YA SUMAYE NA LOWASA KURUDI TENA CCM

Kwanini Siri iwe Kurudi ccm tu na siyo kutoka ccm kwenda Chadema ?SIRI KIJASUSI ILIYOFICHIKA NYUMA YA SUMAYE NA LOWASA KURUDI TENA CCM

Japo maudhui ya bandiko hili ni tango pori ila kuna vi theory umetaka kuvipatiaKumbuka hata Plan ya Kumchagua Rais JPM kama mgombea kwa tiketi ya CCM watu wengi wa ndani ya CCM na nje Ya CCM waliishangaa kwani hakutegemewa wala hakupangwa hivyo tangu mwanzo bali ilikuwa ni Plan B ya watu wachache ndani ya CCM wenye nguvu ya maamuzi waliokuwa Kwenye Kamati hiyo ya Kijasusi(Inteligensia)
Mpaka YEODAYA amepinga bandiko hili? Kesho jua litapambazuka kutokea Magharibi na kuchwea Mashariki. Maana Akili ya Yehodaya anajua yeye mwenyewe na maCCM wenzake.Anajaribu kuwasafisha kwa uongo ulikubuhu!!!
Hoja hii sii kweli, ndio maana nikakuambia hili ni tango pori, wewe ungekuwa ni mtu hata mwenye just the basic intel, ungetuambia ni kwa nini iliamuliwa asiwe Lowassa, hii ya kusema alitumwa Chadema, nadhani kawahubirie watoto wa chekechea.Mayala kama hujui siasa za kijasusi ni bora unyamaze. Nimeele walikuwa wamemuandaa kusaliti upinzani kwani upinzani watakuwa wamerejesha ushindi kwa ccm ambao wao waliamini ni upinzani
Hahaha asante kwa kunifahamu vizuri.Ila nilichokieleza ndivyo kilivyo ndio maana nimekiweka hadharani kwani huwezi kujua kwanini nimejua kuna kamati ya kijasusi nyuma ya hiloAhahahah..kama ni ww umeyaandika haya siaminin hata moja.Kwel kila mtanzania ni tajir ni Tiss ni Tpdf ni analyst wa kila sector nimeamin.
Ww charles richard mwaisemba uliyesoma kimanga primary (ulisoma na my yf 97/2003 kipindi hata sijamjua bado nikiwa mkoa) ukaja ukasoma na mm Tosamaganga high scul) mzee wa maombi full time mtumishi wa bwana umetoa wap guts za kujua mambo ya inner circle (kama ulivyojieleza) kama haya???mipango waliokuwa wanaijua wachache.!!
Ahahahahha.mzee wa PCM Umenifurahisha sana mkuu..
Au ndio unataka kusema enzi hizo unajitenga tenga na wadau pale uboizini tosa ulishakua usalama wa taifa tayar?
Ahahahahahahahaahah..maana sio kwa nondo hiz za kuunga unga unazomwaga hapa..
Duh hatar
NB
wabongo tupunguze ujuajii
Ndio ujiulize kwanino tumeamua kufichua wakati huu na si wakati ule?Kilichonifurahisha ni kusema kwamba ni "watu wachache sana walioujua huu mpango ndani ya CCM, lakini ajabu wewe uliujua! Ahahahahah! Idumu JF!!!
Huo sio ukweli. Ni myopic speculation!Ndio ujiulize kwanino tumeamua kufichua wakati huu na si wakati ule?
Mission imeshakuwa accomplished hivyo kila kilichosirini lazima kifichuke hakuna siti ya wawili.
Cha muhimu ushauri niliotoa Upinzani wauzingatie
Wakawaulize wale walimu wao wa wizi wa kura KANU walivyopoteaSiku ikifika upinzani wataongoza nchi...CCM hawatatawala maisha yote.
Hujui maana ya intelejensia,bora ukae kmya m**laya ww.Ingekuwa hayo unayosema ni kweli Lowassa asingetukanwa vile na UVCCM wakati wa kampeni
Ndio ujiulize kwanino tumeamua kufichua wakati huu na si wakati ule?
Mission imeshakuwa accomplished hivyo kila kilichosirini lazima kifichuke hakuna siti ya wawili.
Cha muhimu ushauri niliotoa Upinzani wauzingatie
Hiyo ni tungo tu wala haiakisi ukweli wowote.Hivi hamna kazi ya kufanya, kama vipi andika riwaya inaweza kukuingizia kipato kuliko utoto unaleta hapa.Mayala kama hujui siasa za kijasusi ni bora unyamaze.Nimeeleza Kuwa Lowasa ndiye alikuwa mwanasiasa mwenye mvuto na upepo mkubwa hivyo kuhama kwake walijua hata kama angeshinda akiwa upinzani bado walikuwa wamemuandaa kusaliti upinzani kwani upinzani watakuwa wamerejesha ushindi kwa ccm ambao wao waliamini ni upinzano
Kumbuka nimesema kuwa CCM walikuwa na mashaka juu ya upinzani huenda wanaweza kushinda ikiwa tu wangepata msaada wa mataifa ya nje yenye nguvu hivyo ilikuwa ni lazima wawatume lowasa na sumaye waliokuwa mawaziri wakuu wakubwa na hasa lowasa ambaye ndiye waliamini lazima upinzani wampe dhamana ya kugombea kwao ila kumbe ndio ilikuwa maangamizo yao
Hii bidhaa yako ni mbovu haiuziki wala hainunulikiLowasa kutukanwa na UVCCM ni kawaida kutokea kumbuka nimekwambia Mpango huu wana CCM wengi tu hata wakubwa wengi hawakuujua hivyo Lowasa alivyotoka wao walidhani ni kwasababu tu ya sababu ile ya kukatwa hawakujua Kulikuwa na mpango wa lowasa kwenda upinzani kwa purpose
akapata kura mil 10 dhidi ya mil 3 unusu za mgombea wa ccmNimesoma kwa ufupi sana hakuna kitu kama hicho. Lowassa alikuwa anautaka Urais bila kupepesa, ndio maana system ilimshindwa ikabidi wacheze na Dr Slaa ili kuleta mgawanyiko kwa upinzani. Hata hivyo Dr Slaa wapiga kura walimpuuza.
Sent using Jamii Forums mobile app