Kingsmann
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 4,448
- 16,313
1. Wanaazima CREDIBILITY Kutoka Kwenye Baadhi ya Medias Zenye AUTHORITY (Tv,s, Radios nk).
2. Wanatafuta SOCIAL PROOFS za Kwamba Hii business Model inafanya Kazi (Wana-Clear SCAPTISMS).
3). Wanatoa RISK yoyote Kwa Mlengwa (INVESTOR) unaona Kabisa Huna Cha Kupoteza na Hela Yako Ipo Salama
4). Wanatafuta Team Kisha Wanapigwa Pindi la Marketing & Sales (Especially Closing skills) Ili wawe na Uwezo wa Kufanya Prospecting na Closing.
CASE STUDY: KALYNDA
Je Game Ipo wapi?...
Ukisoma Ile story ya Miaka ya 1920's ya Charles Ponzi...ambaye Ndio Mwanzilishi wa Ponzi Scheme, Utakuja Kugundua Kwamba "Wale Investors wa Kwanza Ndio wanaowalipa Investors wapya...yaani hakuna Exchange of VALUE yoyote In Between Ili Profit ipatikane na igawanywe Kwa Hao Investors". Ni kama UPATU.
Rafiki Mpendwa, Ngoja nikwambie Kitu Kimoja Leo ambacho kitakuokoa sana Kupigwa Hela Kizembe Mtandaoni. Ukiona Mfumo wowote unaoahidi Kukupa Hela Mtandaoni Bila Kutokea Exchange of VALUE yoyote In Between...basi Jua 101% Hiyo ni SCAM.
Ukweli ni Kwamba Ili Pesa itengenezwe lazima Itokee Exchange of VALUE yoyote in Between. Ukiona Deal ni tamu Zaidi waza Mara Mbili Kabla hujaingia Mzima Mzima.
Money is not Given...it's EARNED! . Kwahiyo... . Wanaopiga Hela Kwenye Ponzi Scheme yoyote ni wale wanaowekeza wa Kwanza na Ndio CHAMBO yenyewe Kwasababu Ndio wanaotoa SHUHUDA...(Social Proofs) Ambazo zitawapandisha Wengine Mtumbwi wa Vibwengo.
Ukweli ni Kwamba Zile Hela Huwa haziwekezwi Popote kama Jinsi unavyoambiwa...Bali Huwa ZINAZUNGUSHWA. Yani mnalipana Wenyewe Kwa Wenyewe...wale wa Kwanza wanalipia wapya.
Na ikifika Muda Tu Ule Mzunguko ukawa Mdogo Kuliko Pesa Zinazotakiwa Kutoka, Yaani OUTFLOW ikawa Kubwa Kuliko INFLOW (Outflow>Inflow) Maana yake wakitoa Mzigo wanakula Hasara.
Hiyo ni ishara Kwamba Ponzi Ipo Kwenye Peak yaani Mwisho. Ponzi ikifika Mwisho inaanza Kushuka Maana yake inakuwa Hasara Kwao.
Ikifika Hapo Kitaalamu inaitwa..."It's Time" au "D-Day".
Guess what?...BOOOOM..Wana wanayeyuka Huku wakiweweseka kiwendawazimu na Servers Zao.
Na Kuna Tofauti Kubwa Sana Kati ya hizi Models Hapa Chini...
1. Ponzi Schemes
2. Pyramid Schemes
3. MLM
Ponzi scheme inalandana sana na Pyramid Scheme ila HAZIFANANI (Similar but not identical).
MLM ni Legal Business Model Kwasababu Kuna Exchange of VALUE In Between Watu wanauza & Kununua Products na Zinasolve Matatizo ya watu.
Lakini MLM kama inaunganisha Watu Pekee Bila Kuuza Chochote kati kati Hiyo ni SCAM...
Anyway nimeona Tu niwasanue kidogo Wanangu Kwasababu Kuna Mtu Wangu wa Karibu aliwahi Kupigwa Kitambo so nikaingiaga Chimbo Kuhusu Hizi business Models so nazijua nje ndani.
Sema Kalynda wangepiga Hela Nyingi Zaidi Endapo wangetumia Mbinu inayoitwa "Piss Them Off and then Apologize Strategy"..
Yaani warudi Tena waombe msamaha Kwa Servers ku-Missbehave Kisha Baadhi walipwe Hela Zao, Watoe Shuhuda, Waendelee kualika More Investors, then Boooooom.
(Ndo nawasanua hivyo msipigwe Tena)
Anyway Ahsante Kwa Kusoma Mpaka Mwisho.
Namaste