Sipigii kura mlima Kilimanjaro

hubby

Member
Mar 5, 2011
93
5
wakuu habar.
muda mref hawa wanaharakat fek wananichefua sana, eti tupige kura, tuwape chakula. wahunituu. rasilimali ngapi hatujatumia? madini, mbuga, ardh.....mpaka tunatukanwa na cameroon. bulsht, sipigi kura mimi....
 
acha kupiga...siyo muhimu kihivyo, mafisadi wanaotumia hela za nji wapige ili waendelee kuzitafuna hizo hela sifa ikishapanda!!!
 
ndio nimeamua mkuu. ningekuwa mtaalam wa IT ningehack na kuvuruga kabisa hiyo sstm
 
..acheni kumponda, ana express mawazo yake na mawazo ya kundi kubwa la watu wenye mawazo kama yake na mimi nikiwa mmoja wapo...tumieni nguvu ya hoja ku justify ni kwa kiasi gani Mlima Kilimanjaro unamsaidia, na ni kwa kiasi gani kwa kuupigia kura tija hyo itaongezeka na kuboresha maisha yake na ya watanzania wengne wa kawaida.
 
wakuu habar.
muda mref hawa wanaharakat fek wananichefua sana, eti tupige kura, tuwape chakula. wahunituu. rasilimali ngapi hatujatumia? madini, mbuga, ardh.....mpaka tunatukanwa na cameroon. bulsht, sipigi kura mimi....

Pamoja sana! muda mrefu niimekuwa kinyume na hawa jamaa. ukishakuwa 7th wonder of the world halafu ndo iwe nini? mimi nimezaliwa kwenye mteremko wa huo mlima, sijaona tofauti yoyote na mzaliwa wa nanjilinji! sipigi kura!
 
wakuu habar.
muda mref hawa wanaharakat fek wananichefua sana, eti tupige kura, tuwape chakula. wahunituu. rasilimali ngapi hatujatumia? madini, mbuga, ardh.....mpaka tunatukanwa na cameroon. bulsht, sipigi kura mimi....

It can be done play your part
 
mnawasusia mateja madawa ya kulevya

hatuwasusii!! Tunakata Supply Chain ya madawa ya kulevya..unapopga kura, unaendelea kusupply poda kwa mateja na kuendelea ku make things worse kwako na kwao..sasa tunakata supply ili waende arosto, na ikiwezekana wafe.
 
..acheni kumponda, ana express mawazo yake na mawazo ya kundi kubwa la watu wenye mawazo kama yake na mimi nikiwa mmoja wapo...tumieni nguvu ya hoja ku justify ni kwa kiasi gani Mlima Kilimanjaro unamsaidia, na ni kwa kiasi gani kwa kuupigia kura tija hyo itaongezeka na kuboresha maisha yake na ya watanzania wengne wa kawaida.
Karibu sana bia mkuu jackies hapa. Point sana kaka.
 
Back
Top Bottom