Sipendi Wakili wa Chadema kusimamia kesi ya anayedaiwa fisadi

mosquito

Member
Nov 5, 2010
15
0
Jamani nisaidieni na hizi sheria zenu,inanisumbua akili sana kila kesi ya bwana mengi inapoitishwa,iko sawa sawa hii kimaslahi ya kisiasa?
 
Ji fafanulie na kujijibu...............
namaanisha wakili wa kujitegemea mpiganaji mkubwa katika chadema kuwa wakili wa mtu anayetuhumiwa kuwa fisadi papa? imekaaje,maana evidence zikija kuthibitisha katika hali ya kawaida lazima uzipige chini!!!
 
Jamani nisaidieni na hizi sheria zenu,inanisumbua akili sana kila kesi ya bwana mengi inapoitishwa,iko sawa sawa hii kimaslahi ya kisiasa?
<br />
<br />

Wakili ni mtiumishi kama watumishi wengine, ana haki ya kumtetea mteja yeyote yule. Pale kinachofanyakazi ni sheria na siyo siasa. Je ukiwa wewe ni daktari halafu Rostam Azizi akaleytwa kwenye hospitali unayofanya kazi hutamtibu kwa sababu ni mtuhumiwa Mkuu wa Ufisadi?
 
Back
Top Bottom