Sioni sababu ya Wanaccm kuvaa sare ktk Mikutano ya hadhara, Sare zinadogodesha mahudhurio

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,241
142,414
Ni Ushauri tu

Kwa mfano nyomi ya Chadema Kanda ya Nyasa na hata hapo Arusha nikizoom nawaona Wanaccm wengi tu

Mikutano ya hadhara ni kwa Wananchi Wote sasa haya masare yanalimit wasio Wanaccm kuhudhuria na katika Hili Chadema wamekuwa wajanja hawavai masweta yao ya rangi za Buchani

Nawasilisha

cc: Bwashee Daudi Mchambuzi
 
Tunapokuwa kwenye mkutano wa chama chetu, tunahitaji kuvaa sare zetu ili tuweze kujulikana idadi yetu, hasa sasa hivi ambapo wafuasi wa chama kingine wanashiriki kwenye mikutano yao. Tunajumuika kwa shauku kubwa na kushangilia kwa nguvu, na kwa kawaida tunatokea kwa wingi kuipigia kura za ndio kwa CCM siku ya kupiga kura. Baadaye, wafuasi wa upinzani ambao hushindwa vibaya kwenye uchaguzi hutazama video zao za mikutano na kula walizopata, huku wakidai kuwa wameibiwa kura. Hata hivyo, wanapaswa kuelewa kuwa robo tatu ya wale wanaohudhuria mikutano ni wafuasi wa CCM.
 
Usiwaamshe waliolala. Acha waendelee na mtindo wa kijima wa kuvaa sare ktk mikutano ya hadhara
 
Ni Ushauri tu

Kwa mfano nyomi ya Chadema Kanda ya Nyasa na hata hapo Arusha nikizoom nawaona Wanaccm wengi tu

Mikutano ya hadhara ni kwa Wananchi Wote sasa haya masare yanalimit wasio Wanaccm kuhudhuria na katika Hili Chadema wamekuwa wajanja hawavai masweta yao ya rangi za Buchani

Nawasilisha

cc: Bwashee Daudi Mchambuzi
Sasa mzee Mgaya wafanyeje?
 
Back
Top Bottom