Sioni sababu ya kurudiwa kwa uchaguzi wa ubunge ikiwa....

Papa Mopao

JF-Expert Member
Oct 7, 2009
4,108
2,510
Let say, Mbunge kaenguliwa ubunge na uamuzi wa Mahakama kwa sababu za kupata ushindi kwa njia za hila dhidi ya mpinzani wake katika zoezi zima la uchaguzi, kwanini yule aliyeshindwa asichukue nafasi ya ubunge moja kwa moja? kwa maana aliyeshindwa kwa hila bila hila angeshinda moja kwa moja!
 
hapana sheria za uchaguzi na katiba haziruhusu hivyo!

Kwa sheria hizi, sisi wenyewe ndo tumeziweka lakini sheria hizi hazina tija, maana kwa kuondoa hiyo ni hatua ya nzuri ya kutumia matumizi mazuri ya kodi zetu, hivyo ni wajibu wetu kuziondoa hizo!
 
Hilo nalo neno,ni kweli anayeshinda basi apewe ubunge moja kwa moja,kama hakutokua na rufaa yeyote
 
Katiba ye2 ina mapungufu mengi na haiendi na wakati ila pia mgawanyo wa nguvu ya dola nchini bado sana maana kiongoZzzzz anaweza akakosoa mahakama bila kuwa na ushahidi na kuleteleza wengine waonekane wabaya
 
Acha uchaguzi uludiwe mnataka jembe letu lema apigwe chini na mshindi wa pili mama Batlda Buriani apewe ubunge jimbo la Arusha ni muhimu kuliko jimbo la sumbawanga na ganga. Viva chadema. RIP ccm
 
Turekebishe katiba, mbunge akitenguliwa ubunge the next achukue nafasi, lakini akifa basi ndio uchaguzi ufanyike..hii ya kurudia kila uchaguzi kiti kikiwa wazi ni gharama kubwa kwa watanzania, inadhihirisha usemi kuwa demokrasia ni gharama, which I believe should not be so! Imagine majimbo matatu kwa sasa Tanzania Bara, Arusha Mjini, Igunga na Sumbawanga mjini! How much will it be spent?
 
Back
Top Bottom