ZHP.Ilikuwa ni awamu ya nne kauli hii ilipotolewa na tajiri mmoja hapa nchini. Nani anakumbuka ni tajiri gani? Mbwa alikuwa Nani? Mwenye Mbwa alikuwa Nani?
Hatari sanaNumber zinasomeka saizi
Aisee Mimi niikuwa nakumbuka kauli kama hiyo ila kumbukumbu aliitoa nani ndo nilikuwa Sina tenaManji
Alijua ataishi kama malaika mileleDuh Manj kazi anayo!!
Waulize viongozi wa UKAWA wanajua hilo. Ndiyo walikua mavuvuzela wa hizi habari.Aliitolea wapi? Na nani aliesikia au wote tunaambiana tusichokijua....Nani alisikia akisema hivyo? Mie nilimsikia Juma Nkamia Akitoa Kauli km hiyo au inayofanana na hiyo akiwa Bungeni....
Juma Nkamia alisema hii bungeni akimjibu mbunge mmoja wa upinzani.Ilikuwa ni awamu ya nne kauli hii ilipotolewa na tajiri mmoja hapa nchini. Nani anakumbuka ni tajiri gani? Mbwa alikuwa Nani? Mwenye Mbwa alikuwa Nani?
ManjiAisee Mimi niikuwa nakumbuka kauli kama hiyo ila kumbukumbu aliitoa nani ndo nilikuwa Sina tena
Unataka ksema awamu Ya Nne ilikuwa inmlinda manji????Ilikuwa ni awamu ya nne kauli hii ilipotolewa na tajiri mmoja hapa nchini. Nani anakumbuka ni tajiri gani? Mbwa alikuwa Nani? Mwenye Mbwa alikuwa Nani?
Hapana. Ilitolewa na Justin Nyari. Kipindi hiko akiwa 'mzee wa kazi'. Kuna askari walizingua. Ikaenda hadi levo ya RPC. Ndie aliepewa hizo za uso kama nakumbuka vizuri. By then IGP alikua Mahita na Mkapa rais.Kauli YA tajiri mmoja... Anaitwa Tango alikua anamiliki magari mengi Sanaa YA kusafirisha mizigo hadi nje YA Nchi pale jijini Arusha Ila baada YA kumjibu moja viongozi WAKATI ule na alikua akihidani serikali pesa nyingi jamaa waliamua kumfilisi Aisee hadi Sasa ukienda Arusha pale friends corner Karbu na soko la samunge... Kama unaelekea NMC utaona magari makubwa yamepaki pale miaka na miaka....