Idofu
Senior Member
- Oct 24, 2022
- 108
- 187
Pale Mahakama ya Kisutu Kuna kesi nyingi za Uhujumu Uchumi zinazowahusu watendaji mbalimbali wa Serikali huku zikiendelea kutajwa tu huku Upelelezi ukiwa haujakamilika!!
Kuna watendaji kadhaa waliokuwa na nafasi kubwa tu Serikali wameshtakiwa kwa Uhujumu Uchumi tangu Mwaka 2016 na 2017 mpaka leo kesi zao zinatajwa tu kwa kuwa Upelelezi haujakamilika,huku wakiendelea kupokea mishahara yao ambayo ni mikubwa tu!!
Sheria za utumishi zikoje?, Kwenye mifano hii,ni kwa nini Serikali hazitumii utaratibu wa ndani ya taasisi zao za kuwachukulia hatua za kinidhamu kwanza ili ikidhibitika Wana tuhuma waachishwe Kazi?,
Kumpeleka mtu mahakamani huku anaendelea kupata mshahara kwa kila mwezi,Serikali haioni inajihujumu yenyewe?,au kama wameshindwa kukamilisha Upelelezi kwa nini wasirudishwe makazini waendelee na majukumu yao?