Sio kweli kwamba....

RECYCLER

Senior Member
Jan 14, 2012
104
10
1.Sio kweli kwamba eti wote wafupi ni wapare..

2.Sio kweli kwamba waliopo JF wote ni wapinzani hata Ndugu naye yupo..

3.Sio kweli kwamba eti wasichana weupe tu ndio wazuri..

WELCOME!! ONGEZEA SIO KWELI ZAKO APO.........
 
Siyo kweli kwamba Wahaya wote ni wazinzi
Siyo kweli kwamba hakuna mchaga mcheza mpira
Siyo kweli kwamba Wapare wote ni bahili
Siyo kweli kwamba Kikwete hajafanya la maana hadi sasa
Siyo kweli kwamba taifa stars haiwezi kutwaa kombe la mataifa ya afrika!!!
 
-Siyo kweli kwamba Ridhiwan siyo Bilionea.
-Siyo kweli kwamba watanzania watapata maisha bora.
-Siyo kweli kwamba Lowassa siyo fisadi.
-Siyo kweli kwamba CHADEMA itakuwa chama cha upinzani 2015!
-Siyo kweli kwamba Babu Seya na mwanaye Papii Kocha walibaka.
-Siyo kweli kwamba Kikwete ana mke mmoja tu.
-Siyo kweli kwamba vijana wanaokishabikia CCM wana akili timamu!
 
Sio kweli kwamba kila mtu lazima aongeze sio kweli kwamba zake
sio kweli kwamba hurudi kuchungia nani kuchangia sio kweli kwamba zako
 
Sio kweli kwamba kila mtu anajua kiswahili fasaha
sio kweli kwamba jf members hawajuani!
Sio kweli kwamba nina kiherehere kuchangia thread yako
sio kweli kwamba mtu ambae hajui sio kweli kwamba zake ni mjinga
 
Sio kweli kwamba mwenye thread hii ndio mbunifu wa sio kweli kuwa,
sio kweli kuwa mkeo/mmeo hajawahi kutoa nje (kabla ya ndoa au baada)
 
sio kweli kwamba watanzania wengi ni wavivu wa kufikiri
sio kweli kamba watanzania wengi wanapenda kusoma magazeti ya michezo hata kama hajui kusoma
 
Sio kwel kwamba humu ndani mwa jf hakuna mafsadi sio kweli kwamba humu jamvini hakuna wanaopenda kwenda chini
 
Back
Top Bottom