Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 918
- 1,994
Watu wa Soka,
Leo nimewakumbuka humu. Bila shaka mko poa!
Dirisha Dogo limeshafunguliwa na timu zote ziko mbio mbio kufanya maboresho kwenye vikosi vyao. Sio jambo baya lakini sio shurti.
Kwa mfano Singida Fountain Gate ni miongoni mwa timu ambazo tulifanya usajili wa kiufundi sana Dirisha kubwa. Ukitazama quality ya wachezaji kwenye timu yetu wamehesheni kweli kweli. Bado kuna wachezaji wengi wazuri ndani ya kikosi hatujawatumia inavyopaswa.
Kwahiyo Singida presha ya usajili dirisha hili dogo sio kubwa sana kwetu. Tutasajili tukipata mapendekezo ya Benchi la Ufundi lakini endapo kunahitajika maboresho, lakini hatutasajili kwa kwenda na trend sababu usajili sio fasheni kwamba lazima uende nayo.
Singida ndio timu yenye kikosi kipana zaidi kwa sasa nchini kwa kuwa na wachezaji zaidi ya 30. Kwahiyo ni kama tuna timu tatu ndani ya klabu moja. Tulijipanga!