Sio CCM, Chadema wala CUF vinafaa kuongoza tanzania , tunahitaji chama mbadala.

huo ni mtazamo wako kwa upeo wako mdogo!
chama makini cha siasa lazima kuwe na changamoto kuonyesha ukomavu!
ishu ni jinsi gani chadema inakwenda kukabiliana na hizo changamoto!
unatakiwa kutumia kichwa kufikiri kabla ya kupost

hahaha kwa CDM ni CHANGAMOTO ila CCM matatizo acheni ushabiki na kupoteza mda wenu bure
 
Mi nashauri bora wote turudi ccm, tukaiimarishe iweze kutuletea madevelopment maana wapinzani wametukatisha tamaa. Loh
 
Una uvivu wa kufikiri mkuu, chadema wapo makini kuliko unavyodhani, c unaona wasaliti akina zitto, mchange, mwampamba, mamuya, shonza wanavyoumbuka, kuujua ugonjwa nusu ya tiba
 
kwani kuelezea fikra lazima utumwe? hivi tunajenga jamii ya aina gani?? kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake sasa linakujaje suala la kutumwa??? hao mnaowatetea wamewatuma?? mkuu unanitisha kwa swali lako inaonesha huko uhuru wa mawazo ni usaliti tujipange jamani.
Wapuuzi sana kama wewe ndio wanakuwa na akili fyongo na finyu kama zako mleta mada mbofumbofu.
Sijaona mgogoro wa kuua chama cdm, ndio maana chama kama chama hakijatoa kauli ya tahadhari yoyote so far.
Nyie mnaoabudu watu in person ndio mnaota cdm kusambaratika.
Mshindwe na mlaaniwe "laanakum aleikh arudhi" nyie.
 
vilivyopo mbali ya hivyo ulivyovitaja pia havikufai? if yes then na wewe ni tatizo tayari.
 
pamoja na matatizo/migogoro yooote ya ccm, pamoja na kushindwa kabisa kusimamia rasilimali zetu bado kitabaki kuwa chama imara kwa kipindi hiki tulichonacho, sababu zipo nyingi tu, moja wapo ni mtaji wa wanachama na viongozi(regardless shutma,tuhuma na kila aina ya uchafu) tofauti na vyama vingine, so sio chama cha kufa leo au kesho tusijidanganye, tunakumbukumbu nzuri ya vyama kama nccr-mageuzi na cuf mwishoni mwa miaka ya 90 na mwanzoni mwa 2000, viko wapi sasa kama sio historia, achilia mbali nafasi za uwakilishi bungeni walizonazo leo hii, ni mfano mzuri kuwa bado hawajawa serious and strong enough in all aspects (wapinzani) kuiondoa ccm madarakani si 2015 tu hata hiyo 2020 sijui japo si mtabiri na ni ukweli ambao baadhi yetu hasa vijana hatutaki kuusikia ila naamini kwa baadaye tunaweza kukipata, kama sio kipya basi hata hivi tulivyo navyo endapo tu watakuwa waumini wa yale wanayo yahubiri na si unafki,uzandiki,uroho wa madaraka,kujifanya waungu watu,wakosa uadilifu na mambo mengine machafu
 
si dhambi kufikiri hivyo...., hakuna mafanikio ya moja kwa moja... natambua ccm wako very tecnical sana na siasa za divide and rule... eg akina mrema baada ya uchaguzi wa 1995, tofaut na cdm haya mambo kimeshayaelewa mapema.., kuhusu ukabila ni inferiority complex uliyojijengea tena unasema uchagga.., me sio mchagga ila hata uko unakopapenda hata hao watu wapo, kuhusu u dini..ni hoja nyepesi sana, kwamba hakuna kiongozi asiye na dini na kwa taarifa yako wanaoleta hoja ya udini kama werwe ni wadhambi kupindukia.. wazinzi, wezi, wasaliti, washirikina n.k hata hivyo siasa sio mahali pa kuhubiriana neno la mungu au kukusanya sadaka brother!
 
Back
Top Bottom