nahitaji huo muujiza ila niko mbali niombeni nipate huo muujiza mpendwamasaa ndio haya jamani tusikose wala kuchelewa huenda ndio ukapata muujiza wako
ameni mtuombee nasisi wa mbali
una miaka mingapi kwanza kabla sijaja huko pm halafu id yako inamshkeri kidogo waogopeshwa weyeNjoo pm
una miaka mingapi kwanza kabla sijaja huko pm halafu id yako inamshkeri kidogo waogopeshwa weye
khaaa mm nataka maombi waniombee kule kwenye hiyo semina aliyoitangaza mkuu hapo juu kwa thread yakeKila kitu nikuelewana ,ukiwa mkweli tunayajenga.ww njoo pm unijue vzr
khaaa mm nataka maombi waniombee kule kwenye hiyo semina aliyoitangaza mkuu hapo juu kwa thread yake
anza maombi kwanza bila kwenda huko PM hakuna faida zaidi ya maombi