Singles really talk in Mwanza

lup

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
2,514
2,732
usikose kama upo Mwanza na pia ni single... kwa jinsia zote na kwa watu wote na ni bure kabisa bila kujari imani yako.maswali na majibu yatakuwepo.
 

Attachments

  • 1471986932802.jpg
    1471986932802.jpg
    106.2 KB · Views: 47
masaa ndio haya jamani tusikose wala kuchelewa huenda ndio ukapata muujiza wako
 
Kila kitu nikuelewana ,ukiwa mkweli tunayajenga.ww njoo pm unijue vzr
khaaa mm nataka maombi waniombee kule kwenye hiyo semina aliyoitangaza mkuu hapo juu kwa thread yake

anza maombi kwanza bila kwenda huko PM hakuna faida zaidi ya maombi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom