Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,883
- 2,763
love at work
Naulizia wale wadada ambao wanafanya kazi zao na kuishi kwa kujitegemea. Sio wanafunzi, japo wako wanafunzi ladies. Wanapatikana wapi hawa? Napishana nao manjiani lakini hawajaandikwa wako singo. Kuwasimamisha njiani sio utaratibu. Nahitaji kuwa na mmoja mwenye kazi yake. Ukichanganya na yangu, tunasongesha.
madem wote unaowaona wana kazi zao sema tu kipato kinatofautiana na aina ya kazi.So Acha uvivu piga sound mtoto wa kiume hawa wakutafutiwa hawana issue
yahh! Hii umeichakachua kiuprofesa! Nimeipenda!huwezi kuichoka jfsource:the boss (with uchakachuaji kidogo)
we mi nlishakwambia uje Arusha tukeshe ukayeyusha....sijui unaogopa nini....
Naulizia wale wadada ambao wanafanya kazi zao na kuishi kwa kujitegemea. Sio wanafunzi, japo wako wanafunzi ladies. Wanapatikana wapi hawa? Napishana nao manjiani lakini hawajaandikwa wako singo. Kuwasimamisha njiani sio utaratibu. Nahitaji kuwa na mmoja mwenye kazi yake. Ukichanganya na yangu, tunasongesha.
mie mwanafunzi sikufai.....subiria watakuja kukona