Singida fountain, kama Simba ilibebwa kule Zanzibaz subiri mechi ya marudiano NBC Taifa

1979Magufuli

JF-Expert Member
Feb 20, 2023
439
1,756
Nyie mnadai Simba imebebwa ingawa mnajua tuliwapasua kwenu kwenye NBC, ss kama Simba haina uwezo subirini mechi ya marudiano NBC mtapima wenyewe kama hatuna uwezo au vip, wajinga kabisa nyie
 
Hakuna mechi yeyote itayochezeka Taifa tena mpaka mwezi October
 
Back
Top Bottom